ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ihefu, mbeya kwanza pamoja na makolo , mbona makolo unawasahauHuyu hawezi fukuzwa. Ni mwarabu mwenzetu. Huu ndiyo ukweli ila subiri povu toka kwa utopolo.
Nabi ni kocha wa kuwafunga Ihefu na Mbeya kwanza lakini siyo timu kama Al Hilal au River plate[emoji1787]
Wengi nawaona wanasema ivyo 22/10 mwisho wa safar yake. Vipi yanga wameacha kutumia bahasha tena? si tumekubaliana kila wanapokutana yanga na simba , simba itafungwa kwakuwa wanatembeza bahasha.Siku zake zinaesabika 23/10/mwisho wa safari yake.
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Anawezaje kuwafunga wakati ana wachezaji duni? Unajua dhamani za hao wachezaji wa hizo timu?Huyu hawezi fukuzwa. Ni mwarabu mwenzetu. Huu ndiyo ukweli ila subiri povu toka kwa utopolo.
Nabi ni kocha wa kuwafunga Ihefu na Mbeya kwanza lakini siyo timu kama Al Hilal au River plate[emoji1787]
Sasa mambo ya uto yanahusika vp na watanzania wengine![emoji23] Au kwa vile mmefanana rangi na chama chawala?Wadau hamjamboni nyote?
Lazima tuseme ukweli bila kuona haya wala kuwa na hofu
Profesa Nabi hatufai tena kutuongoza
Yafaa atumbuliwe mapema kadri iwezekanavyo
View attachment 2389794
Kwani tumfukuze tulimleta sisi
Tushawastukia kunguru nyie,mnataka Aondoke ili mmchukue.Kamchukueni Hans Vander PuijmWadau hamjamboni nyote?
Lazima tuseme ukweli bila kuona haya wala kuwa na hofu
Profesa Nabi hatufai tena kutuongoza
Yafaa atumbuliwe mapema kadri iwezekanavyo
View attachment 2389794
Ila tumeimiss Sana kamati ya mapokezi . Sijui itaanza lini tena kazi yake Maana wageni wetu siku hizi wanataabika Sana pale JKNABado mnae sana mtateseka mpaka mtubu kwanini mlikuwa mnwapokea wapinzani wa simba JKNA na viongozi wenu kuvaa jezi za wapinzani wa mnyama mkali
Mbu3 wanaomba poo kinamna maana wanajua chini ya nabi tunaenda kuwapakata tena kama ilivyo kawaidaMbumbumbu mwenzenu huyo.
Nabi mi5 tenaTunampenda maana anatupigia simba kama ngoma. Tena awe wa kudumu ili simba asipate ushindi kabisa.
Miaka mingine 24 ya ufumilifuMtasubiri sana, Nabi ndio kiboko yenu na bado yupo sana.
Bahati nzuri Yanga tumepata kiongozi anayejua football ana maono, Muda si mrefu tunakwenda kupiga hatua kubwa sana. Kikubwa ni uvumilivu tu.
Na ni kocha wa kigeni ambaye amekubali kukalia vyungu vya ulozi ili watoboe wakicheza na simba na amekubali kabisa kupita mlango wa nyuma. Huyu sio msomiTeam zote alizofundisha walimtimua kwasababu kwenye Caf champions league alikuwa hafanyi vizuri yanga mkamchukua kwasababu anaifunga simba ila sudani wanajua hyo sio kocha wa Caf champions league
Rekebisha title iwe Paza sauti Utopolo ama kwa taadhima basi angalau ingekuwa Paza sauti Yanga au Young sijui. Usituhusishe watanzania wote kwenye mambo yenu ya ajabu. Sisi wengine tulichagua upande wa furaha za kimataifaWadau hamjamboni nyote?
Lazima tuseme ukweli bila kuona haya wala kuwa na hofu
Profesa Nabi hatufai tena kutuongoza
Yafaa atumbuliwe mapema kadri iwezekanavyo
View attachment 2389794
Kocha kila goal likiingia ana nawa uso na maji ya kombe ili ashinde ila yule ule u professor sijui alikula chabo darasaniNa ni kocha wa kigeni ambaye amekubali kukalia vyungu vya ulozi ili watoboe wakicheza na simba na amekubali kabisa kupita mlango wa nyuma. Huyu sio msomi
Huko Utopolo hawajawahi kumiliki akiliMkuu una tatzo la afya ya akili kwa huu mwandiko.