Paza sauti Mtanzania Kocha Nabi afukuzwe kazi mara moja

Paza sauti Mtanzania Kocha Nabi afukuzwe kazi mara moja

Halafu aje yule wa liverpool si ndio?
Nechi 42 hajapoteza umfukuze kwa lipi?
Cha kufanya ni kurekebisha mapungufu sio kocha
Tunahitaji beki wawili na straika mmoja kariba ya fiston
Hivyo wageni watatu inabidi wapishe nafasi
Timu ipo vizuri kocha yupo vizuri


Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Huyu hawezi fukuzwa. Ni mwarabu mwenzetu. Huu ndiyo ukweli ila subiri povu toka kwa utopolo.

Nabi ni kocha wa kuwafunga Ihefu na Mbeya kwanza lakini siyo timu kama Al Hilal au River plate[emoji1787]
Ihefu, mbeya kwanza pamoja na makolo , mbona makolo unawasahau
 
Siku zake zinaesabika 23/10/mwisho wa safari yake.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Wengi nawaona wanasema ivyo 22/10 mwisho wa safar yake. Vipi yanga wameacha kutumia bahasha tena? si tumekubaliana kila wanapokutana yanga na simba , simba itafungwa kwakuwa wanatembeza bahasha.
 
Sisi tumekuachia ww utuwakilishe, ukipaza ww sauti inatosha utasikika
 
Huyu hawezi fukuzwa. Ni mwarabu mwenzetu. Huu ndiyo ukweli ila subiri povu toka kwa utopolo.

Nabi ni kocha wa kuwafunga Ihefu na Mbeya kwanza lakini siyo timu kama Al Hilal au River plate[emoji1787]
Anawezaje kuwafunga wakati ana wachezaji duni? Unajua dhamani za hao wachezaji wa hizo timu?
 
Tunampenda maana anatupigia simba kama ngoma. Tena awe wa kudumu ili simba asipate ushindi kabisa.
 
Yani unahusisha vipi watanzania na utopolo.
Muwege na aibu kidogo nyie vyura, eti waTanzania", jinga sana wejamaa.
 
Bado mnae sana mtateseka mpaka mtubu kwanini mlikuwa mnwapokea wapinzani wa simba JKNA na viongozi wenu kuvaa jezi za wapinzani wa mnyama mkali
Ila tumeimiss Sana kamati ya mapokezi . Sijui itaanza lini tena kazi yake Maana wageni wetu siku hizi wanataabika Sana pale JKNA

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mtasubiri sana, Nabi ndio kiboko yenu na bado yupo sana.
Bahati nzuri Yanga tumepata kiongozi anayejua football ana maono, Muda si mrefu tunakwenda kupiga hatua kubwa sana. Kikubwa ni uvumilivu tu.
Miaka mingine 24 ya ufumilifu
Ila ndo sifa ya chura ngozi yake ngumuu
 
Team zote alizofundisha walimtimua kwasababu kwenye Caf champions league alikuwa hafanyi vizuri yanga mkamchukua kwasababu anaifunga simba ila sudani wanajua hyo sio kocha wa Caf champions league
Na ni kocha wa kigeni ambaye amekubali kukalia vyungu vya ulozi ili watoboe wakicheza na simba na amekubali kabisa kupita mlango wa nyuma. Huyu sio msomi
 
Wadau hamjamboni nyote?

Lazima tuseme ukweli bila kuona haya wala kuwa na hofu

Profesa Nabi hatufai tena kutuongoza

Yafaa atumbuliwe mapema kadri iwezekanavyo

View attachment 2389794
Rekebisha title iwe Paza sauti Utopolo ama kwa taadhima basi angalau ingekuwa Paza sauti Yanga au Young sijui. Usituhusishe watanzania wote kwenye mambo yenu ya ajabu. Sisi wengine tulichagua upande wa furaha za kimataifa

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Na ni kocha wa kigeni ambaye amekubali kukalia vyungu vya ulozi ili watoboe wakicheza na simba na amekubali kabisa kupita mlango wa nyuma. Huyu sio msomi
Kocha kila goal likiingia ana nawa uso na maji ya kombe ili ashinde ila yule ule u professor sijui alikula chabo darasani
 
Back
Top Bottom