PostGE2025 Paza sauti yako, kataa maandamano. Hawa wametumwa damu

PostGE2025 Paza sauti yako, kataa maandamano. Hawa wametumwa damu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Eti Mange anawambia msione zile bunduki hazina Risasi . Kinjekitile Ngwale wa kizazi hiki toka tarehe 9 umiminiwe kete uwatie ukiwa watoto na wazazi wako. Bunduki?
 
Paza Sauti Yako

Kataa Maandamano

Hawa wametumwa Damu

IMG_0276.jpeg

Hayo maelezo kawaambie watoto wa familia nzima ya Ali Kibao, kamueleze mke wa Mdude Nyangali na nduguzake pia tafuta ndugu, majirani na marafiki wa watu waliotekwa ambao hawajapatika mpaka leo, waliouawa kwa kuwa tu na maoni tofauti, walioteswa na kunajisiwa na wanaodhulumiwa haki zao kama Wamasai wanaohamishwa kwa nguvu ili maeneo yao wapewe wageni kutoka nje wakishakueleza how exactly wanavyojisikia ndiyo ujue majority ya Watanganyika(Watanzania) wanavyojisikia.
Kwa wanufaika(minorities) na chawa(bootlicker) obviously it a different ballgame sasa hapo umechagua upande wako nasi tuna upande wetu ila hiyo mbinu mnayotumia ya divide and rule it’s not gonna work.
Hivi miili ya Watanganyika mliyoificha/mliyoifukia kwenye mass graves mtairudisha lini kwa ndugu zao ili wawazike kwa taratibu zinazostahili.
 
Back
Top Bottom