BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Angesema angebakwa na kuuwawaAngesema haya wakati kina mdude na Mzee KIBAO wanatekwa na kuuliwa ingemletea credibility zaidi.
maandamano ni haki kikatiba!
huyo ni kiazi mbatata.
Angesema angebakwa na kuuwawaAngesema haya wakati kina mdude na Mzee KIBAO wanatekwa na kuuliwa ingemletea credibility zaidi.
Labda ndomu ilipasuka gesti wakati wa kudinyana..Madhara mengine haya ya kutotumia condom
Hasara kwa wazazi wake mammmae
Niweke utani kidogo hapa ila na wewe ukikutana na madhira huko utawaachia watu huyo mkeo au mumeo watu wamlee na wahangaike nae kama unae , labda useme mtoke woteWewe kaa kwako na mkeo sisi tutatoka.
Akiniteka nampa mimbaAtakuteka 🤣🤣🤣🤣
Labda ndomu ilipasuka gesti wakati wa kudinyana..
may be!
Tukapaka kiazi km hiki.
😂😂Nimecheka sana! Dogo dogo saizi yangu! Kubwa kubwa, I don't know 😂
What a bitch!
Maisha ukiyajulia raha sanaaaaa! Saivi ni mwendo wa kuteleza tyuu 😂