PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

Mimi. AK47 sio pisto kijana wala sio baruti za mlipuko AK47 ni kitu kingine mzee unless useme hufahamu chochote
Mimi. AK47 sio pisto kijana wala sio baruti za mlipuko AK47 ni kitu kingine mzee unless useme hufahamu chochote

Pisto ni manati ? Unawezaje kutumia pisto bila kwenda mafunzoni ? Kama walimfundishia hiyo kwa rushwa ?
 
Halafu Kwanini asiende kuwashtaki kwenye vyombo vya haki kama hayo madai ni ya kweli?

Mimi siamini kama sababu ni hayo madai ya kudhurumiwa.

Ngoja tusubiri taarifa ya uchunguzi.

Case Ya ngedere unampelekea nyani , angeenda kushtaki wapi angepata haki? police wamemlusha huyo Hamza na pale sarender kwenye mikoko ndio Chaka Lao la kuchukua rushwa

possibly walimwambia wakutane pale wamalizane , police wakakimbia jamaa akadata
 
Kwa hiyo wewe unaona ni sawa uamuzi alochukua?
 
Apunzike kwa Amani.
 
TRA imeanzishwa 1997!
 
Case Ya ngedere unampelekea nyani , angeenda kushtaki wapi angepata haki? police wamemlusha huyo Hamza na pale sarender kwenye mikoko ndio Chaka Lao la kuchukua rushwa

possibly walimwambia wakutane pale wamalizane , police wakakimbia jamaa akadata
Sasa we kwa hatua aliyechukua HatA kama kadhulumiwa unaona sawa alivyofanya

Ova
 
Husinipangie kila mtu ana Maono yake na maamuzi yake katika kuchambua mambo

Maono? Au maoni?

Unajua hayo ni mambo mawili tofauti?!

Halafu mbona hujajibu swali la msingi ?

Kila mtu ana maamuzi yake katika kuchambua mambo lakini hayo maamuzi yawe yenye maana na siyo kuonesha ujinga mtu alonao kichwani kwake!

Kupitia kuchangia mada mbali mbali ndio tunapima na kuona kiwango cha uelewa wa mtu katika mambo mbalimbali.

Imeandikwa: “ hata mpumbavu anyamazapo huhesabiwa hekima “
 
Askari wakiwa lindoni wawe lindoni kweli. Amani ya Tz inawafanya wajisahau mpaka wanavamiwa hawana habari!
 
Polisi acheni dhuluma! Watu wengi wana uchungu na nyinyi.
 
Uandishi wa Tanzania unajukana. Ni wa kimawenge. Nchi haina tena waandishi wa habari. Hawa kina sijui Global, Ayo siyo waandishi. Huyo aliyekimbia kulingana na maelezo alikuwa ameshanyang'anywa silaha yake.
 
Sio kweli TRA imeanzishwa 1995, na ikaanza majukumu yake 1996.
Mie kabla ya hapo sijui kulikuwa na Nini Ila nakumbuka Kati ya 95/96 jamaa walinmtoa 2M.alikuwa akitumiwa barua pale bomani mtu mmoja wa mapato anazificha baadaye akaandika kuwa amekaidi so timu kubwa ikaja.
Mfano tra ama mtumishi wa serikali Kama dc director,das,Ras and rc huwa wanaumia Sana kuona mtu STD 3 aliachana na shule Ila Ana mawe kuliko wao.so wanajiona wakubwa jina na heshima now days ni pesa.
Wanabaki kwenda Kama kumuomba hela sijui kusaidia Nini wilayani kwao.
Mara hela za mwenge ama madawati afu wanafosi Hawa wangese.
Ni Nani aliyekuambia kuwa kusoma ama cheo ndio kinakupa helaa.
Kusoma kitakupatia a living na cheo kitakupa tittle tu ya ukubwa Ila waweza kuwa unazidiwa hela na chinga tu.

Yaani wewe mpaka uibe Mara mradi umepata unamtoa upepo mkandarasi anajenga kulingana na hela aliyobaki nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…