PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

Askari wa bongo waoga sana, basi tu wanajua kuonea raia..
Pili niliona hata ulengaji wao wa shabaha ni wa mashaka sana.. jamaa alitoka wazi kweupe kabisa bila kizuizi ila ilichukua zaidi ya dakika mbili kwa risasi za askari kumpata, na milio iliyosikika ni zaidi ya risasi 50 zilipotea.
[/QUOT

Ila yule ffu aliyevaa kofia nyekundu alipiga moja tu ndiyo iliyomshusha yule jamaa chini.
Yule ffu hakuwa na papara Kabisa.
Nadhani alichelewa kutoka kambini mpaka eneo lile ndio maana yule mjumbe wa CCM akawa anatamba na AK 47 mbili na pistol moja.

Ila yule mjumbe wa CCM alitumia ukada wake kuwasumbua polisi ndio maana walikua wanasita kumpiga risasi mjumbe wa chama tawala.

CCM na polisi leteni katiba mpya ili waovu wanaojificha kwenye siasa wajitafakari wenyewe.
Ndani ya CCM kuna majangili wengi sana wenye silaha za kutosha. Kwa nje ni kondoo ila ndani ni mbwa wa kali sana.
 
Zipo taarifa kuwa Hamza alidhulumiwa madini na askari. Lakini inadaiwa askari waliouawa sio wale waliomdhulumu. Kama ni hivyo, basi dhuluma ya askari wachache wasio waadilifu imegharimu maisha ya askari wasio na hatia. Mungu awapumzishe kwa amani.![emoji848][emoji2827]

Na hiyo ndio tafsiri mojawapo ya ugaidi. Kwamba kuua asiyehusika wala asiye na hatia.

Ndugu za hau askari alowaua watamlilia Mungu siku zote na laana itaenda kwa wa huyo Gaidi Hamza Msomali.

Dhambi kubwa sana !
 
Gaidi angeua wale raia wote kwenye daladala, magaidi wakifanya tukio wanajitahidi liwe la ukubwa wa kusikika dunia nzima, gaidi anakuwa na bastola ndogo!!!!!.. magaidi lazima wawe na mabomu akilipua hamna msalia mtume.

Inategemea bana!

Mbona kule Nigeria magaidi wanateka mabinti wanafunzi tu mara nyingi badala ya kuteka yeyote mchanganyiko wa wanawake watu wazima na wanaume??

Kwa hiyo inategemea msikariri!

Acheni kujaribu kuwatoa watu kwenye reli.
 
masoko ya madini yapo

Mtu anadhulumiwaje?

Halafu Kwanini asiende kuwashtaki kwenye vyombo vya haki kama hayo madai ni ya kweli?

Mimi siamini kama sababu ni hayo madai ya kudhurumiwa.

Ngoja tusubiri taarifa ya uchunguzi.
 
Sio bavicha?
Makada wa chama wameuana
JamiiForums683344064.jpg
 
Anaandika Christopher Cyrilo.
___
PC Emanuel Keralyo Waitara. Amezaliwa 24/12/1991, Kabila Mkurya. Ni askari wa kikosi cha FFU aliyeuawa kwa kushambuliwa na Bw.Hamza kwa kushtukiza.

Kabla ya tukio hilo, Hamza alionekana maeneo ya ufukweni akiwa na mawazo sana. Hata watu waliomsalimia hakuwajibu, ni kama vile alikuwa kwenye dunia yake tofauti. Labda alishaona dunia si mahali salama tena kwake.

Punde, akatoka ufukweni na kurudi uelekeo wa barabara kuu ya Ali Hassan Mwinyi. Akafika kwenye kibanda cha polisi kilichokuwa pembeni ya barabara, akachomoa bastola yake ndogo kutoka kiunoni, akawapiga risasi askari wawili waliokuwemo. Askari mmoja alikufa papo hapo, mwingine alikimbia kuelekea baharini.

Hamza alimvua silaha askari aliyekufa na kuivaa shingoni. Kisha akamfuata askari aliyekimbilia baharini ambaye alikuwa ameishiwa nguvu kutokana na jeraha la risasi. Akampiga risasi nyingine kummalizia kisha akachukua bunduki yake. Hapo akawa na bunduki mbili alizopora baada ya kuwaua Polisi.

Hamza akarudi barabarani na kuanza kuwatafuta askari wengine ili awaue. Alifanikiwa kumuona askari wa barabarani (trafic), akiongoza magari eneo la makutano ya barabara karibu na ubalozi wa Ufaransa. Akamfyatulia risasi na kumuua. Akayapita magari binafsi na daladala za abiria akitafuta askari wengine.

Akamuona askari wa kampuni binafsi ya ulinzi ya SGA, wanaolinda ofisi za Ubalozi wa Ufaransa. Yule askari akataka kukoki silaha kupambana na Hamza lakini akachelewa. Hamza akamuwahi, akampiga risasi na kumuua. Kisha akasogea eneo la ubalozini kupambana na askari wengine waliokuwepo. Lakini polisi wengine wakawa wamefika na katikati ya mapambano wakamuua.

Moja kati ya askari waliouawa na Hamza ni PC Emanuel Keralyo (pichani). Anatajwa kuwa mtu mwema asiye na shida na mtu. Anazungumzwa vizuri na askari wenzie hadi na jamaa waliosoma na kukua nae. Kijana mtulivu, mwenye kumheshimu kila mtu.

Zipo taarifa kuwa Hamza alidhulumiwa madini na askari. Lakini inadaiwa askari waliouawa sio wale waliomdhulumu. Kama ni hivyo, basi dhuluma ya askari wachache wasio waadilifu imegharimu maisha ya askari wasio na hatia. Mungu awapumzishe kwa amani.!View attachment 1909791
mbona serikali inasema waliofariki ni watatu (3) afu ww kwa story yako naona wanne (4) .. tumwamini yupi ssa?
 
Umepamba kweli,
 
Hizo sifa kuwa ni mtu mwema,means nothing to majority of us,
Kwa ufupi polisi wote ni "licenced robbers"inategemea umeingia vipi kwenye himaya yao,
Pole kwa wafiwa,
 
duuu.... wamemfuata

"WE DEREVA! unasababisha foleni, puuuuu, konde, ndoo, frankiki, kipepsi, kifuti, tanganyika jeki, kakaza, kata, funua, buruza, tupa kule..."

aaaaah, bana wewe pleaaase,

hebu mwambie akuambie ukweli, acha kutufunga kamba ulizofungwa na suka.....
Kwa hawa wafunga buti sio jambo la kushangaa jamaa Angus

Akili zao huwa wanaziacha kambini kwao. INAWEZEKANA KABISA
 
Yaani mtu una silaha, umejeruhiwa unakimbilia ufukweni, huo muda anamvua askari mwingine silaha we unakimbia, anakufuata ulipokimbilia anakufyatulia risasi, anachukua tena silaha yako...

Hii habari kama haijapikwa... basi kama ni kweli... ni uzembe wa huyo askari aliyekimbia.... wadau wanasema kaacha dona kizembe sana....

Hizo nguvu za kukimbia ni bora angejihami, mbinu bora ya kujilinda ni kushambulia... any way RIP wazee, acheni tamaa...
Huijui silaha na shambulio la kushtukiza ndo maana waongea utumbo kama huu.
 
Ukishakuwa Askari jua kifo chaweza tokea dakika yoyote ile
 
Ujumbe wako Muhimu niliouona hapa na ambao umeusisitiza ( japo Kimafumbo ) ni kwamba Muuaji Hamza Mohammed hakuwa Gaidi kama tunavyodanganywa kwa Kulazimishwa, bali alichokifanya ni Kulipiza tu Kisasi kwa Mapolisi kutokana na Kumdhulumu Kwao Dhahabu yake.

Huku Kwingineko sijui huyu Police alikuwa ni Mtu mwema Kijamii ( Uraiani ) ni Mbwembwe tu kwani sijawahi kuona Mtu yoyote hasifiwi pale akifa hata kama alikuwa ni Mchawi au Muiba Kuku na Bata maarufu Mitaani.

Kilichonishangaza zaidi ni kwanini Police hao kama kweli huko Chuoni Kwao waliiva Kimedani walishindwa Kumshtukia mapema kwa Jicho la Saikolojia huyu Muuaji hadi akawawahi na kwanini Option yao ( Police ) ilikuwa ni Kukimbia ili Kujificha na siyo Kupambana vilivyo na Adui Hamza Mohammed?

Police Tanzania watumie Tukio hili katika Kujitathmini na Kubadilika upesi kwani hata kama tutamlaumu Muuaji Hamza Mohammed ila nao ( PT ) wana Mapungufu makubwa ya Kiuweledi ambayo ni kwa bahati sana huwa yanafichwa katika Kivuli cha Kuwakamata Wapinzani na Kutishatisha tu Watu hovyo.
Na kuna msemo kuwa chuma inalindwa Kwa chuma. Ndomaana wakiwa na silaha wanatembea wawili wawili.Na kuna stance pia ambayo wanakaa askari ni ngumu kushambulia wawili Kwa pamoja. Otherwise huko chuoni sikuhizi wanafundisha mataputapu
Inashangaza sana ila ndo hivyo Pole Kwa familia zao wapumzike pema.

Kuna sehemu nimesoma na yule askari binafsi (mlinzi) eti alichelewa kukoki ndo Hamza akambabatiza. Inakùwaje askariimeshasikika milio kadhaa ya risasi bado hajakoki tu kuna kauzembe fulani Kwa mtazamo Wang
 
mbona serikali inasema waliofariki ni watatu (3) afu ww kwa story yako naona wanne (4) .. tumwamini yupi ssa?

Wa 3 wa jeshi la police wa 4 ni wa kampuni ya ulinzi binafsi
Kumuongezea taarifa tu ni kwamba wawili ni beret nyekundu ( FFU) ndo walikua na silaha na mmoja ni trafiki na mwingine ndo mlinzi wa SGA
 
Tukio baya sana hili
We must raise our voices for it kama Kuna shida sehem iwe solved sio Upotevu wa Kijana kama huyu kirahisi hivi. Ni bahati mbaya sana alikuwa tegemeo kubwa wa familia

R.I.P Mdogo wangu
 
Back
Top Bottom