Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
very trueKuna ulazima wa kubadilisha mitaala ya jeshi la polisi ili liendane na wakati wa sasa.
Hili la sasa, halina tofauti kubwa na lile la Mkoloni tulilo lisoma kwenye vitabu vya Historia. Limejaa vitendo vingi vya uonevu, dhuluma, kubambikia kesi raia wema, kupenda sana rushwa, kutumiwa na dola (ccm) kunyima watu haki zao za msingi, nk.
Na mimi naomba wahusika wawaangalie hawa Polisi-CCM.Nadhani Polisi-CCM ni moja ya taasisi haramu zinazofichwa na serikali ili kulichafua jina la Tanzania.Naomba wananchi wawaibue hawa Polisi-CCM na kuwashughulikia kwa kutumia taasisi hii vibaya.Naomba wahusika wawaangalie watu kama wewe. Nadhani wewe ni mmojawapo wa magaidi yanayojificha ndani ya jAMIIfORUMS YAKICHAFUA JINA LA JAMIforums. Naomba JamiiForums itoe jina lakop nje ili ushughulikiwe kwa kutmia vibaya mtandao.
Noma sana.Hamza alipaswa kuwadondosha askari zaidi ya 2,000/=
Mungu arehemu zaidi Polisi-CCM ambao wako busy kukitumikia chama badala ya wananchi👇Mungu akurehemu sana
We jamaa yaan maelezo yako yote sizani kama ni sahihiHaujawahi kupitia kwenye mateso na kadhia za polisi. Ukishapitia kwenye kadhia ya hawa watu, kama unaroho nyepesi lazima uwe kama Hamza tu.
Ujiulize, kwanini hakuua raia wakati walikuwa wengi?
Kesho sikiliza kipindi cha Leo tena Clouds.
Mtu unafungwa miaka 10 halafu unabainika hauna hatia. Huo muda nani anaufidia?
Siyo huyo tu yupo mwingine naye alisingiziwa ameua, amekaa jera zaidi ya miaka 10 akaachiwa huru. Huo muda nani anafidia?
Uchunguzi gani unafanyika zaidi ya miaka 10?
Polisi wetu hawana weledi. Humbleness ni key ingredient ya mwana usalama sababu wale ni law enforcement agents!
Wale wanatakiwa watufundishe kuishi ndani ya sheria ila kinyume chake wao wanatumia sheria kama chombo cha kutukomesha. Yani anajua kwamba kwa kufanya hivi utakuwa umevunja sheria ila hawaenezi awareness kwenye jamii wala hawana special programes za kuhimiza watu kuzitambua sheria na haki zao.
Anakuvizia ili uingie kwenye mtego wa kuvunja hio sheria ili kusudia atengeneze mazingira ya rushwa! Ukijaribu kumuelewesha au kujieleza hataki na anakuwa violent ghafla atakutishia ama atakushambulia na kukubambikia kesi ya uongo ili tu uswekwe ndani au upigwe mafaini ya kukomolewa!
Kimsingi mapolisi wakiafrika wako kukomoa watu na kujipatia hela (rushwa) kwa dhuluma na sio kwa kuelekeza watu wanaishi vipi bila kuvunja sheria na kutoa maonyo! Wao ni akukamate saingine alazimishe kuwa umevunja sheria flani na sio akuonye basi hapo on the spot akuzonge umpe hongo akuachie au akupige penalty!
Unaanzaje kumpenda mtu wa namna hii?
Sio kosa kujua kutumia Bastola kwa watu wa madini ni kitu cha kawaida kama wanavyosema alikua ni mfanyabiashara wa dhahabu hawezi kukosa silaha ndogo , pia hao kila siku wanacheza na mabomu mgodini kulipua madiniWe jamaa yaan maelezo yako yote sizani kama ni sahihi
Ipo ivi yule jamaa lzm atakuwa ni terrorist, miaka ya nyuma kituo cha polis staki shari kilivamiwa na majamaa yalikuwa yana piga polisi tu na kukwapua silaha yali target ma polisi tu je pia walizulumiwa madini ?
Sababu yangu yengine ya kuamin yule jamaa ni terrorist tazama jinsi alivyo kuwa anajua kutumia ile silaha, mzee AK47 ni silaha ya kivita ile sio pisto ..yule jamaa lzm ali pitia mafunzo ya utayari wa mapigano ya silaha, ata ww hapo uki setiwa ile silaha ukapewa utumie sizan kama utaweza kui manage vizuri bila changamoto yoyote
Pia tazama yule jamaa alivyo kuwa hodar ktk kujilinda alikuwa ana jilinda vizuri, alikuwa hakurupuki kurupuki ..tazama alivyo wapa mtihan askar wetu wazalendo ...chief yule hakuwa muuza madini itoshe kuamin yule ni gaidi hakuna haja ya kusikikiza leo tena wala kesho tena ..lile jambo ni sensitive mnoo maisha ya watu 4 wale ni bora
Picha sio roho! Polisi ni wale waleWale mliokuwa mnashangilia vifo vya Askari waliouawa jana, mmoja huyo hapo angalieni picha yake wakati mnashangilia.
Zipo taarifa kuwa Hamza alidhulumiwa madini na askari. Lakini inadaiwa askari waliouawa sio wale waliomdhulumu. Kama ni hivyo, basi dhuluma ya askari wachache wasio waadilifu imegharimu maisha ya askari wasio na hatia. Mungu awapumzishe kwa amani.![emoji848][emoji2827]Anaandika Christopher Cyrilo.
___
PC Emanuel Keralyo Waitara. Amezaliwa 24/12/1991, Kabila Mkurya. Ni askari wa kikosi cha FFU aliyeuawa kwa kushambuliwa na Bw.Hamza kwa kushtukiza.
Kabla ya tukio hilo, Hamza alionekana maeneo ya ufukweni akiwa na mawazo sana. Hata watu waliomsalimia hakuwajibu, ni kama vile alikuwa kwenye dunia yake tofauti. Labda alishaona dunia si mahali salama tena kwake.
Punde, akatoka ufukweni na kurudi uelekeo wa barabara kuu ya Ali Hassan Mwinyi. Akafika kwenye kibanda cha polisi kilichokuwa pembeni ya barabara, akachomoa bastola yake ndogo kutoka kiunoni, akawapiga risasi askari wawili waliokuwemo. Askari mmoja alikufa papo hapo, mwingine alikimbia kuelekea baharini.
Hamza alimvua silaha askari aliyekufa na kuivaa shingoni. Kisha akamfuata askari aliyekimbilia baharini ambaye alikuwa ameishiwa nguvu kutokana na jeraha la risasi. Akampiga risasi nyingine kummalizia kisha akachukua bunduki yake. Hapo akawa na bunduki mbili alizopora baada ya kuwaua Polisi.
Hamza akarudi barabarani na kuanza kuwatafuta askari wengine ili awaue. Alifanikiwa kumuona askari wa barabarani (trafic), akiongoza magari eneo la makutano ya barabara karibu na ubalozi wa Ufaransa. Akamfyatulia risasi na kumuua. Akayapita magari binafsi na daladala za abiria akitafuta askari wengine.
Akamuona askari wa kampuni binafsi ya ulinzi ya SGA, wanaolinda ofisi za Ubalozi wa Ufaransa. Yule askari akataka kukoki silaha kupambana na Hamza lakini akachelewa. Hamza akamuwahi, akampiga risasi na kumuua. Kisha akasogea eneo la ubalozini kupambana na askari wengine waliokuwepo. Lakini polisi wengine wakawa wamefika na katikati ya mapambano wakamuua.
Moja kati ya askari waliouawa na Hamza ni PC Emanuel Keralyo (pichani). Anatajwa kuwa mtu mwema asiye na shida na mtu. Anazungumzwa vizuri na askari wenzie hadi na jamaa waliosoma na kukua nae. Kijana mtulivu, mwenye kumheshimu kila mtu.
Zipo taarifa kuwa Hamza alidhulumiwa madini na askari. Lakini inadaiwa askari waliouawa sio wale waliomdhulumu. Kama ni hivyo, basi dhuluma ya askari wachache wasio waadilifu imegharimu maisha ya askari wasio na hatia. Mungu awapumzishe kwa amani.!View attachment 1909791
Huko ni kwa sababu silaha/bunduki ununuliwa kiurahisi hivyo raia wengi sana wanazimiliki... kwa uonevu wa maaskari wetu huku kama raia tungekuwa na hizo silaha hali ingekuwa mbaya zaidi ya hiyo marekaniKimsingi hakuna sababu yoyote inayohalalisha mauaji/majeruhi na taharuki hasa kwa wasiohusika.
Tuache uchunguzi ufanyike. Tuamini haki ya mtu hapotei, japo mhusika amepoteza maisha.
Kwa mfuatiliaji mzuri wa Media, matukio ya aina hii yapo kwa wingi katika nchi zilizoendelea. Mfano, Brazil sio eneo la vita lakini inaongoza kwa mauaji ya vurugu za silaha (gun violance deaths) ikifuatiwa na USA..."Through the first five months of 2021, gunfire killed more than 8,100 people in the United States, about 54 lives lost per day, according to a Washington Post analysis of data from the Gun Violence Archive, a nonprofit research organization. That’s 14 more deaths per day than the average toll during the same period of the previous six years".
Wito kwa mamlaka husika, ipo haja ya kufanyika uchunguzi wa kina kwa wanaoomba kumiliki silaha.
Gaidi angeua wale raia wote kwenye daladala, magaidi wakifanya tukio wanajitahidi liwe la ukubwa wa kusikika dunia nzima, gaidi anakuwa na bastola ndogo!!!!!.. magaidi lazima wawe na mabomu akilipua hamna msalia mtume.We jamaa yaan maelezo yako yote sizani kama ni sahihi
Ipo ivi yule jamaa lzm atakuwa ni terrorist, miaka ya nyuma kituo cha polis staki shari kilivamiwa na majamaa yalikuwa yana piga polisi tu na kukwapua silaha yali target ma polisi tu je pia walizulumiwa madini ?
Sababu yangu yengine ya kuamin yule jamaa ni terrorist tazama jinsi alivyo kuwa anajua kutumia ile silaha, mzee AK47 ni silaha ya kivita ile sio pisto ..yule jamaa lzm ali pitia mafunzo ya utayari wa mapigano ya silaha, ata ww hapo uki setiwa ile silaha ukapewa utumie sizan kama utaweza kui manage vizuri bila changamoto yoyote
Pia tazama yule jamaa alivyo kuwa hodar ktk kujilinda alikuwa ana jilinda vizuri, alikuwa hakurupuki kurupuki ..tazama alivyo wapa mtihan askar wetu wazalendo ...chief yule hakuwa muuza madini itoshe kuamin yule ni gaidi hakuna haja ya kusikikiza leo tena wala kesho tena ..lile jambo ni sensitive mnoo maisha ya watu 4 wale ni bora sana
Mkatoliki, mseminari mpiga kinanda. Pole Emma. Mungu akupumzishe vizuri. Uliamka uko salama hujui nini kitatokea kazini kwako. Pole mdogo wangu.Anaandika Christopher Cyrilo.
___
PC Emanuel Keralyo Waitara. Amezaliwa 24/12/1991, Kabila Mkurya. Ni askari wa kikosi cha FFU aliyeuawa kwa kushambuliwa na Bw.Hamza kwa kushtukiza.
Kabla ya tukio hilo, Hamza alionekana maeneo ya ufukweni akiwa na mawazo sana. Hata watu waliomsalimia hakuwajibu, ni kama vile alikuwa kwenye dunia yake tofauti. Labda alishaona dunia si mahali salama tena kwake.
Punde, akatoka ufukweni na kurudi uelekeo wa barabara kuu ya Ali Hassan Mwinyi. Akafika kwenye kibanda cha polisi kilichokuwa pembeni ya barabara, akachomoa bastola yake ndogo kutoka kiunoni, akawapiga risasi askari wawili waliokuwemo. Askari mmoja alikufa papo hapo, mwingine alikimbia kuelekea baharini.
Hamza alimvua silaha askari aliyekufa na kuivaa shingoni. Kisha akamfuata askari aliyekimbilia baharini ambaye alikuwa ameishiwa nguvu kutokana na jeraha la risasi. Akampiga risasi nyingine kummalizia kisha akachukua bunduki yake. Hapo akawa na bunduki mbili alizopora baada ya kuwaua Polisi.
Hamza akarudi barabarani na kuanza kuwatafuta askari wengine ili awaue. Alifanikiwa kumuona askari wa barabarani (trafic), akiongoza magari eneo la makutano ya barabara karibu na ubalozi wa Ufaransa. Akamfyatulia risasi na kumuua. Akayapita magari binafsi na daladala za abiria akitafuta askari wengine.
Akamuona askari wa kampuni binafsi ya ulinzi ya SGA, wanaolinda ofisi za Ubalozi wa Ufaransa. Yule askari akataka kukoki silaha kupambana na Hamza lakini akachelewa. Hamza akamuwahi, akampiga risasi na kumuua. Kisha akasogea eneo la ubalozini kupambana na askari wengine waliokuwepo. Lakini polisi wengine wakawa wamefika na katikati ya mapambano wakamuua.
Moja kati ya askari waliouawa na Hamza ni PC Emanuel Keralyo (pichani). Anatajwa kuwa mtu mwema asiye na shida na mtu. Anazungumzwa vizuri na askari wenzie hadi na jamaa waliosoma na kukua nae. Kijana mtulivu, mwenye kumheshimu kila mtu.
Zipo taarifa kuwa Hamza alidhulumiwa madini na askari. Lakini inadaiwa askari waliouawa sio wale waliomdhulumu. Kama ni hivyo, basi dhuluma ya askari wachache wasio waadilifu imegharimu maisha ya askari wasio na hatia. Mungu awapumzishe kwa amani.!View attachment 1909791
Ujumbe wako Muhimu niliouona hapa na ambao umeusisitiza ( japo Kimafumbo ) ni kwamba Muuaji Hamza Mohammed hakuwa Gaidi kama tunavyodanganywa kwa Kulazimishwa, bali alichokifanya ni Kulipiza tu Kisasi kwa Mapolisi kutokana na Kumdhulumu Kwao Dhahabu yake.Anaandika Christopher Cyrilo.
___
PC Emanuel Keralyo Waitara. Amezaliwa 24/12/1991, Kabila Mkurya. Ni askari wa kikosi cha FFU aliyeuawa kwa kushambuliwa na Bw.Hamza kwa kushtukiza.
Kabla ya tukio hilo, Hamza alionekana maeneo ya ufukweni akiwa na mawazo sana. Hata watu waliomsalimia hakuwajibu, ni kama vile alikuwa kwenye dunia yake tofauti. Labda alishaona dunia si mahali salama tena kwake.
Punde, akatoka ufukweni na kurudi uelekeo wa barabara kuu ya Ali Hassan Mwinyi. Akafika kwenye kibanda cha polisi kilichokuwa pembeni ya barabara, akachomoa bastola yake ndogo kutoka kiunoni, akawapiga risasi askari wawili waliokuwemo. Askari mmoja alikufa papo hapo, mwingine alikimbia kuelekea baharini.
Hamza alimvua silaha askari aliyekufa na kuivaa shingoni. Kisha akamfuata askari aliyekimbilia baharini ambaye alikuwa ameishiwa nguvu kutokana na jeraha la risasi. Akampiga risasi nyingine kummalizia kisha akachukua bunduki yake. Hapo akawa na bunduki mbili alizopora baada ya kuwaua Polisi.
Hamza akarudi barabarani na kuanza kuwatafuta askari wengine ili awaue. Alifanikiwa kumuona askari wa barabarani (trafic), akiongoza magari eneo la makutano ya barabara karibu na ubalozi wa Ufaransa. Akamfyatulia risasi na kumuua. Akayapita magari binafsi na daladala za abiria akitafuta askari wengine.
Akamuona askari wa kampuni binafsi ya ulinzi ya SGA, wanaolinda ofisi za Ubalozi wa Ufaransa. Yule askari akataka kukoki silaha kupambana na Hamza lakini akachelewa. Hamza akamuwahi, akampiga risasi na kumuua. Kisha akasogea eneo la ubalozini kupambana na askari wengine waliokuwepo. Lakini polisi wengine wakawa wamefika na katikati ya mapambano wakamuua.
Moja kati ya askari waliouawa na Hamza ni PC Emanuel Keralyo (pichani). Anatajwa kuwa mtu mwema asiye na shida na mtu. Anazungumzwa vizuri na askari wenzie hadi na jamaa waliosoma na kukua nae. Kijana mtulivu, mwenye kumheshimu kila mtu.
Zipo taarifa kuwa Hamza alidhulumiwa madini na askari. Lakini inadaiwa askari waliouawa sio wale waliomdhulumu. Kama ni hivyo, basi dhuluma ya askari wachache wasio waadilifu imegharimu maisha ya askari wasio na hatia. Mungu awapumzishe kwa amani.!View attachment 1909791
Mimi. AK47 sio pisto kijana wala sio baruti za mlipuko AK47 ni kitu kingine mzee unless useme hufahamu chochoteSio kosa kujua kutumia Bastola kwa watu wa madini ni kitu cha kawaida kama wanavyosema alikua ni mfanyabiashara wa dhahabu hawezi kukosa silaha ndogo , pia hao kila siku wanacheza na mabomu mgodini kulipua madini
harufurahii Askari kuuliwa bila hatia tunasikitika dhulma aliyotendewa Hamza
Sasa ndio ujiulize kama sio gair alijuaje matumiz ya silaha kubwa kama AK47 .... Na rudia tena hata Kenya chokochoko zilianza kamaniv magaid walikuwa wana piga polisi ktk vituo vya polisi kisha sasa waka hamia kuwa ua raiaGaidi angeua wale raia wote kwenye daladala, magaidi wakifanya tukio wanajitahidi liwe la ukubwa wa kusikika dunia nzima, gaidi anakuwa na bastola ndogo!!!!!.. magaidi lazima wawe na mabomu akilipua hamna msalia mtume.
masoko ya madini yapoZipo taarifa kuwa Hamza alidhulumiwa madini na askari. Lakini inadaiwa askari waliouawa sio wale waliomdhulumu. Kama ni hivyo, basi dhuluma ya askari wachache wasio waadilifu imegharimu maisha ya askari wasio na hatia. Mungu awapumzishe kwa amani.![emoji848][emoji2827]
SIO lazma.Gaidi angeua wale raia wote kwenye daladala, magaidi wakifanya tukio wanajitahidi liwe la ukubwa wa kusikika dunia nzima, gaidi anakuwa na bastola ndogo!!!!!.. magaidi lazima wawe na mabomu akilipua hamna msalia mtume.