PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

Mkuu jana wametoka kumpiga dereva wangu wa daladala hapo banana bila sababu, eti wana haraka kwanini anasabisha foleni, walivyojibiwa kuna ajali, kuna gar zimepigana pasi, ndo wanashangaa wakati wameshamuumiza mkono hadi umevimba balalaa na kidonda juu. Wanatumia nguvu nyingi, akili kidogo
Kwa style hiyo unawapendaje sasa?!!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Mimi nasikitika na kuumia sana kuwa Hamza ameua hawa polisi-CCM wachache sana,alipaswa kuua wengi zaidi.View attachment 1909802
Naomba wahusika wawaangalie watu kama wewe. Nadhani wewe ni mmojawapo wa magaidi yanayojificha ndani ya jAMIIfORUMS YAKICHAFUA JINA LA JAMIforums. Naomba JamiiForums itoe jina lakop nje ili ushughulikiwe kwa kutmia vibaya mtandao.
 
Polisi ni polisi tu, hata akiwa ndugu yako sio mtu mzuri huyo, wamejaa dhulma na uonevu.

Apumzike kwa amani shujaa wetu Hamza, tuliobaki tutaendelea kuwapukutisha polisi mdogomdogo.
Sio police wote Ni wabaya, wengi ni watu Safi tu na wanatekeleza majukumu yao vizuri
 
Mtu hutakiwi kuua wala kuuliwa tuliletwa Duniani tuishi na watu vizuri, Maisha ni hadithi tu , tunatakiwa tuheshi na watu vizuri, tutangulize upendo tusifanyiane Mabaya ,kwani Maisha ya kuishi kwetu Duniani ni Mafupi sana. pia tuwe na Hofu na Mungu ndani yetu.
 
Hamza kada wa ccm jana kawapa ccm wenzake msongo wa mawazo,hapo walipo ccm wamesahau jinsia zao[emoji16][emoji16]manina hamza katubeba
Hamza ni mwanachama hai wa CHADEMA. Madini aliyodhulumiwa alipewa na Mbowe akamuuzie, ndipo police wakanusa. Kwa vile ilikuwa mali ya wizi, wakajichukulia kwa imani kuwa hakuna popote atakapoenda. Dhuluma imekutana na dhuluma, na waliyomnyang'anya sasa wanatesa na waliyokufa hawahusiki.
 
Mtu hutakiwi kuua wala kuuliwa tuliletwa Duniani tuishi na watu vizuri, Maisha ni hadithi tu , tunatakiwa tuheshi na watu vizuri, tutangulize upendo tusifanyiane Mabaya ,kwani Maisha ya kuishi kwetu Duniani ni Mafupi sana. pia tuwe na Hofu na Mungu ndani yetu.
Dah mkuu comment yako imenitia huzuni ya faraja na kuzidi kunifundisha kuhusu maisha.
 
Hamza aliumizwa na huu ndo ukweli
Yeye ndiye wa kwanza kuumizwa hadi aue hao askari? Ingekuwa ni hivyo basi kila anayeumizwa angekuwa anaua na kungekuwa na mauaji kila siku. Hajafanya vizuri kuua hao askari wasiokuwa na hatia yeyote.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Mimi afande OCS CID wa Kizuiani mbwaa yule anaitwa Hawa,natamani afe au adhalilishwe km kina askari anapita hapa na kusoma ampe ujumbe wake amuambie namchukiaaaaa..na namlaani na mkorogo wake mtu mzima hovyoo mwanamke ana roho mbaya sana

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Aiseeee
 
JembeKillo, Mkuu jana wametoka kumpiga dereva wangu wa daladala hapo banana bila sababu, eti wana haraka kwanini anasabisha foleni, walivyojibiwa kuna ajali, kuna gar zimepigana pasi, ndo wanashangaa wakati wameshamuumiza mkono hadi umevimba balalaa na kidonda juu. Wanatumia nguvu nyingi, akili kidogo
duuu.... wamemfuata...... "WE DEREVA! unasababisha foleni, puuuuu, konde, ndoo, frankiki, kipepsi, kifuti, tanganyika jeki, kakaza, kata, funua, buruza, tupa kule..."

aaaaah, bana wewe pleaaase,

hebu mwambie akuambie ukweli, acha kutufunga kamba ulizofungwa na suka.....
 
Yaani mtu una silaha, umejeruhiwa unakimbilia ufukweni, huo muda anamvua askari mwingine silaha we unakimbia, anakufuata ulipokimbilia anakufyatulia risasi, anachukua tena silaha yako...

Hii habari kama haijapikwa... basi kama ni kweli... ni uzembe wa huyo askari aliyekimbia.... wadau wanasema kaacha dona kizembe sana....

Hizo nguvu za kukimbia ni bora angejihami, mbinu bora ya kujilinda ni kushambulia... any way RIP wazee, acheni tamaa...
Unashambuliaje huku umetenguliwa bega au kiuno😅
 
Askari wa bongo waoga sana, basi tu wanajua kuonea raia..
Pili niliona hata ulengaji wao wa shabaha ni wa mashaka sana.. jamaa alitoka wazi kweupe kabisa bila kizuizi ila ilichukua zaidi ya dakika mbili kwa risasi za askari kumpata, na milio iliyosikika ni zaidi ya risasi 50 zilipotea.
Wana kiburi wakiwa na zile SMG tu ila wakiwa mikono mitupu hawana jipya😅 ni kisago tu mpaka wanaomba POO!

Jana limeonekana hilo wazi kuwa incase wananchi tukichafukwa tukakamata zile AK47 zao yani kuwapiga na kuzilokota ni ndani ya muda mchache watakuwa wamegaragazwa vibaya. Yani msaada pekee labda jwtz waingilie kati!
 
Acheni kutetea uovu!

Kuweni waungwana!

Mauaji siyo jambo la kushabikia hata kidogo!

RIP policemen
Polisi wetu hawana weledi. Humbleness ni key ingredient ya mwana usalama sababu wale ni law enforcement agents!

Wale wanatakiwa watufundishe kuishi ndani ya sheria ila kinyume chake wao wanatumia sheria kama chombo cha kutukomesha. Yani anajua kwamba kwa kufanya hivi utakuwa umevunja sheria ila hawaenezi awareness kwenye jamii wala hawana special programes za kuhimiza watu kuzitambua sheria na haki zao.

Anakuvizia ili uingie kwenye mtego wa kuvunja hio sheria ili kusudia atengeneze mazingira ya rushwa! Ukijaribu kumuelewesha au kujieleza hataki na anakuwa violent ghafla atakutishia ama atakushambulia na kukubambikia kesi ya uongo ili tu uswekwe ndani au upigwe mafaini ya kukomolewa!

Kimsingi mapolisi wakiafrika wako kukomoa watu na kujipatia hela (rushwa) kwa dhuluma na sio kwa kuelekeza watu wanaishi vipi bila kuvunja sheria na kutoa maonyo! Wao ni akukamate saingine alazimishe kuwa umevunja sheria flani na sio akuonye basi hapo on the spot akuzonge umpe hongo akuachie au akupige penalty!

Unaanzaje kumpenda mtu wa namna hii?
 
Back
Top Bottom