PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

PC Emanuel Keralyo Waitara, mmoja wa askari aliyeuawa na Hamza

Sijali wala nini mkuu, kuna traffic alinisababishia kuwekwa mahabusu kwa makusudi ili anidhalilishe, najua yeye amesahahu maana ni miaka 3 sasa imepita lakini nakuahidi lazima nimuue kwa kumgonga na gari. Ukisikia askari kagongwa na gari kafa ujue mimi.
Unasomeka vyema mkuu labda mtu ajitoe ufahamu tu
 
Yaani mtu una silaha, umejeruhiwa unakimbilia ufukweni, huo muda anamvua askari mwingine silaha we unakimbia, anakufuata ulipokimbilia anakufyatulia risasi, anachukua tena silaha yako...

Hii kama sio chai... basi kama ni kweli... ni uzembe wa huyo askari aliyekimbia.... wadau wanasema kaacha dona kizembe sana....
Kwenye mikutano ya wapinzani tu ndio utawaona wakijitutumua 😁
 
Nilikuwa najiuliza kwanini police walipoteza chanzo cha taarifa kizembe.

Kumbe kuna tuhuma kubwa ilikuwa inafichwa. Hili tukio ni sawa na lile la wale wafanyabishara wa madini waliouwawa pale Sinza tukatangaziwa kuwa ni majambazi na yule afande aliyekuwa amamkaimu afande Tiba.
 
JembeKillo, Mkuu jana wametoka kumpiga dereva wangu wa daladala hapo banana bila sababu, eti wana haraka kwanini anasabisha foleni, walivyojibiwa kuna ajali, kuna gari zimepigana pasi, ndo wanashangaa wakati wameshamuumiza mkono hadi umevimba balaa na kidonda juu. Wanatumia nguvu nyingi, akili kidogo
 
Kuna ulazima wa kubadilisha mitaala ya jeshi la polisi ili liendane na wakati wa sasa.

Hili la sasa, halina tofauti kubwa na lile la Mkoloni tulilo lisoma kwenye vitabu vya Historia. Limejaa vitendo vingi vya uonevu, dhuluma, kubambikia kesi raia wema, kupenda sana rushwa, kutumiwa na dola (ccm) kunyima watu haki zao za msingi, nk.
 
Unadhani bila katiba mpya CCM ikitoka kwa bahati mbaya watakua raia wema wakati 98 ya silaha zote halali na haramu wanamiliki wao na hawajazoea kudhulumiwa wala kubambikwa kesi za ugaidi au kuporwa ushindi. Unakumbuka kuna OcD alipigwa mtama na mgombea wa CCM ili apishe kura ziibiwe. CCM hawajazora kudhulumiwa na vyombo vya mabavu.
 
Back
Top Bottom