PCB inanisumbua naombeni ushauri

PCB inanisumbua naombeni ushauri

Mwalimu mzuri aliye deep hawezi kumaliza organic yote kwa week tatu labda awe anafundisha saa 5 kwa siku! Mwalimu mbovu aliye shallow ndo anaweza kumaliza organic kwa muda huo. Fuatilia hata walimu wakongwe kama Mkandawile uone wanafundishaje.
Organic inasomwa kuanzia saa moja mpaka saa sita kisha inasomwa Inorganic saa sita na robo mpaka saa kumi na mbili.

Uliwahi kusoma hizi tuition?
Huyo unayeita mwalimu shallow anaitwa Ahmes afundishe. Anafundisha usiku baada ya kazi zake na asubuhi mapema wanafunzi wakiamka morning prep. Kuna mwalimu binafsi mwenye jeuri hiyo? Kama ni shallow jeuri anatoa wapi ya kufundisha shule na kuchangia iwe ya tatu kitaifa.
 
Na biology alikuwa anafundisha saa ngapi....?
Na walimu wengine walikuwa wanafundisha saa ngapi kwa siku?
 
Nikiona mada kama hizi nahisi wanajadili wanafunzi.. Nishasahau Kitambo.
 
haha ndio situation niliyonayo Sasa pia Hawa umepitia na unaweza kunishauri
Nimesoma PCM mdogo wangu, Though kwa PCM's Chem inakuwaga Changamoto pia..

Sikuwahi ipa Priority Lakini Niliitungua Fresh.. Issue ni Moja Solves sana Maswali.

Advance akili haiihitajiki sana.. Bali Hardwork Inahitajika Mno.
 
shukrani
 
Physics angalau ila chemistry ndio ngumu labda ni mwanzo
Hapo soma topic flani ukimaliza fanya maswali ya iyo topic husika kwenye vitabu na past papers, najua utaona shida yako ilipo rudi tena soma yake maeneo ambayo yalikushinda wakati unafanya maswali.

Jipe muda wa kutosha kusoma kwa bidii na kwa undani elimu ya advance inahitaji concentration kubwa sio kama O level ukikosea steps kidogo utakula zero wakati ulipata division one O level.
 
Na biology alikuwa anafundisha saa ngapi....?
Na walimu wengine walikuwa wanafundisha saa ngapi kwa siku?
Hujawahi soma hizi kazi so huwezi elewa. Schedule ya kusoma inapangwa since pre form five. Kuna likizo fupi ile ya March form five kama sasa hivi ndio mnasoma Inorganic na Organic tu
 
Umetisha sana Van De Beek ! T14 Armata anashangilia kumaliza organic yote kwa wiki tatu!! Wiki tatu organic ya five na six.....alafu ya form four itachukua muda gani....? Siku tatu?!
Huwezi soma kila kitu kwenye Organic hata upewe miezi miwili. Hakunaga likizo ya zaidi ya wiki 6 advance na hapo unasoma masomo mengine. Likizo fupi mostly ya 3 weeks ndio mnasoma Organic, kama hutaki fanya kama Waarabu na Wahindi wanavyofanya wanakodisha walimu wakafundishe watoto wao kwa muda wao.

Unless kama unasoma shule kama Benja ambayo unaweza kaa miezi minne hauko shule na usiambiwe kitu, unasoma kama Ilboru unapewa wiki 3 likizo afu unakaa mwezi ili usome Organic utaenda kuongea kilugha gani?

Hakuna mtaala wa Tanzania unaotoa likizo ya kusoma Organic kuimaliza. Ndio maana ukirudi shule unaisoma tena tofauti na topics nyingine unaweza peta bila kukanyaga class.
 
Physics angalau ila chemistry ndio ngumu labda ni mwanzo
Chemistry raisi mno acha kabisa mziki wa Physics ww kuna miziki HEAT,ERROR,MECHANICS tena hii ndo ngumu balaaa ili nisumbua mno,WAVE,HEAT na DIMENSION OF THE PHYSICAL QUANTITY. Izo top 5 NI za form 5 na hizi ni za form 6
. ELECTROSTATIC
.CURRENT ELECTRICITY
.ELECTROMAGNETISM
.ELECTRONICS hii tulikuwaga tunaiita Tonic nilikuwa na jamas angu alikuwa anaijua sana hii topics
.STRUCTURES OF THE ATOM
GEOPHYSICS hii ni raisi mno katika topic zote hii ndo raisi tuu
Alafu kumbuka PHYSICS ni mpya A level tofauti na CHEMISTRY NA BIOLOGY izi una idea nazo Olevel uko PHYSICS ndo somo gumu kuliko masomo yote duniani...#IYUNGA TECHNICAL SCHOOL MBEYA mwaka 2004...
 
Habari za muda huu ndugu zangu naombeni msaada wa mawazo.

Ngoja nianze kwa maelezo mafupi kwanza nilimaliza A level - PCB miaka miwili iliyo pita na matokeo yangu hayakuwa mazuri kijumla nilikuwa na two ya 12 ambapo CHEM - C BIOS - C na PHY - S.

Nilijaribu kuomba Degree ila nilipataga Ualimu wa CHEM na BIOS. Wakati naomba degree niliomba pia na diploma ya medicine napo pia nilipata.

Kwakuwa ndoto zangu zilikuwa ni Udaktar ikanibidi niende diploma. Mwaka jana nilifanya mtihani wa NACTE na nilipata sup mbili ya clinical skills na patient care.

Nikaendelea kusoma level 5 sem 1 huku nikisubiria mwez wa 2 nichomoe supp zangu. Nikafanya mitihani ya level 5 sem 1 na supp zangu.

Juzi matokeo yakatoka level 5 sem 1 nilipata pass ya GPA ya 3.6 Ila level 4 clinical skills ikanikamata tena kwa hiyo nimepata RM ya clinical skills.

Jana Sir ametwambia wale wote wenye RM matokeo yao ya Level 5 sem 1 yatafutwa hvyo watabidi wasome tena upya baada ya kufaulu somo walilopata RM.

Kumbe waliletewa utaratibu kwanzia mwaka jana mwez wa 9 kuwa wenye supp wasiendele na level inayofuata mpaka watakapo chomoa masomo yao. Ila chuo chetu hawakutuambia kabisa hili swala awali na ada zetu walichokuwa bila kutuambia wanakuja kutuambia jana tena baada ya matokeo.

Naombeni msaada kwa haya mambo mawili la kwanza
"Kuna mtu aliniambia kwa hayo matokeo ya a level ambayo ni chem c bios c na phy s naweza pata chuo uganda hata kampala na weza pata ila inabidi nimtafute connection ya kunisaidia. Swali je kwa hayo matokeo ya a level naweza pata chuo uganda kusomea md au naweza pata nchi gani ila uwezo wa wazaz wangu mwisho ni mil 4? La pili.

"Je nifanye utaratibu gani endapo chuo kikigoma kunirudishia hela zangu au hakuna utaratibu wowote? (namaanisha hela yangu ya ada ya level 5 sem 1 ambayo ni 1.7m)".

Kama unaushauri wowote naomba unisaidie kwa kweli maana sielewi hadi muda huu na kikubwa ni muda tu ndio tatizo.

Asante sana na samahani kama nitakuwa nimetumia lugha vibaya na rm maana yake ni repeat module na supp maana yake ni supplementary
 
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza

Jamani ndugu wanaJF nilikua naomba ushauri jinsi gani nitaweza kuovercome hi depression na hii combination mana hata nikisoma naona Mambo yanaenda tofauti hususani kwenye chemistry .naomba ushauri wenu Mimi nipo kidato Cha tano
Mdogo wangu komaa na soma kwa technic Sana, chemistry ni somo jepesi na rahisi sana , kama unaona mda haukutoshi soma kwa mkakati maalumu, unaweza kuchagua topics za kusoma. Mfano, paper one komaa na general chemistry, states of matters, heat change, njoo paper two komaa na electrochemistry, inorganic chemistry,soil chemistry, organic chemistry, Ila hapa ujipinde kweli kweli, then soma kwa kusolve maswali mengi na mitihani mingi kadri uwezavyo na kwa kushirikiana na wenzako.

Hapa nakupa hints ya topic mbili ambazo watu waga wanazikwepa kuzisoma na walimu wengi wa shule za serikali ukizitoa zile za vipaji maalumu hawazifundishaga kabisa (organic and soil chemistry). Kwa organic chemistry kama unataka kuchomoa kila swali lake basi hakikisha unafuata hints hizi;

-Introduction to organic chemistry
Nucleophile & electrophiles and free radicals
-Organic reactions(addition, substitution & elimination reactions)
Electrophilic substitution reactions
Electrophilic addition reactions
Electrophilic elimination reactions
Nucleophilic addition reactions
Nucleophilic substitution reactions
Nucleophilic elimination reactions

-Reaction mechanisms
Heterolytic and homolytic bond cleavage

-Hydrocarbons & isomerism
Aromatic( saturated/parafine, unsaturated olefins) & non aromatic
#Non aromatic- alkenes, alkanes, alkynes and their physical & chemical properties & preparations and tests

#Aromatic hydrocarbons
Benzene and it's derivatives- benzene, toluene, phenol , benzoic acid, aniline & their methods of preparations, tests, physical and chemical properties

-Carbonyl compounds
#Ketones,aldehyde, with their tests, methods for preparations, physical and chemical properties

#Carboxylic acids, Ester, amides, ethers & epoxides with their tests, preparations, physical and chemical properties

-Polymers
#Types,forms and synthesis of polymers
Hapa mara zote in advanced level mnasoma zile common mfano, protein, polyvinyl chloride PVC, polystyrene, polyethylene zile-complex kama polyacrylamide,polyacrylate, silicones, polyurethane ni kama hamzigusi kabisa.

-Alicyclic organic compounds- preparations & chemical reactions
-Fanya mazoezi ya organic conversion
Mfano. How to convert one compounds to another, eg alkanes-alkene-alkyene-carboxylic acid-carbonyl compounds, benzene-toluene-phenol etc n.b hapa inabidi ufanye mazoezi ya kutosha na usolve mitihani na maswali mengi hii topic utaona mtelezo tu kama vile unashushia coca ya baridii kwenye jua Kali.

-Soil chemistry hapa komaa na hizi parts physical and chemical properties of soils, manure and fertilizers, cation and anionic exchange capacity of the soil, liming materials, malizia na ozone layer depletion (causes and chemical reactions for Ozone layer depletion).

Ukimaliza hivyo anza kujipima from simple exams/ questions to complex exams/questions , hapo "A" itakuwa inakuita kwa sauti ya upolee[emoji16]
 
Chermistry soma hizi topics

Electrochemistry
Organic
Inorganic
Physical chermistry

Umeua tayari nilifululiza f form 5 form six nikasoma hizo

Gues what...?
 
Habari za muda huu ndugu zangu naombeni msaada wa mawazo.

Ngoja nianze kwa maelezo mafupi kwanza nilimaliza A level - PCB miaka miwili iliyo pita na matokeo yangu hayakuwa mazuri kijumla nilikuwa na two ya 12 ambapo CHEM - C BIOS - C na PHY - S.

Nilijaribu kuomba Degree ila nilipataga Ualimu wa CHEM na BIOS. Wakati naomba degree niliomba pia na diploma ya medicine napo pia nilipata.

Kwakuwa ndoto zangu zilikuwa ni Udaktar ikanibidi niende diploma. Mwaka jana nilifanya mtihani wa NACTE na nilipata sup mbili ya clinical skills na patient care.

Nikaendelea kusoma level 5 sem 1 huku nikisubiria mwez wa 2 nichomoe supp zangu. Nikafanya mitihani ya level 5 sem 1 na supp zangu.

Juzi matokeo yakatoka level 5 sem 1 nilipata pass ya GPA ya 3.6 Ila level 4 clinical skills ikanikamata tena kwa hiyo nimepata RM ya clinical skills.

Jana Sir ametwambia wale wote wenye RM matokeo yao ya Level 5 sem 1 yatafutwa hvyo watabidi wasome tena upya baada ya kufaulu somo walilopata RM.

Kumbe waliletewa utaratibu kwanzia mwaka jana mwez wa 9 kuwa wenye supp wasiendele na level inayofuata mpaka watakapo chomoa masomo yao. Ila chuo chetu hawakutuambia kabisa hili swala awali na ada zetu walichokuwa bila kutuambia wanakuja kutuambia jana tena baada ya matokeo.

Naombeni msaada kwa haya mambo mawili la kwanza
"Kuna mtu aliniambia kwa hayo matokeo ya a level ambayo ni chem c bios c na phy s naweza pata chuo uganda hata kampala na weza pata ila inabidi nimtafute connection ya kunisaidia. Swali je kwa hayo matokeo ya a level naweza pata chuo uganda kusomea md au naweza pata nchi gani ila uwezo wa wazaz wangu mwisho ni mil 4? La pili.

"Je nifanye utaratibu gani endapo chuo kikigoma kunirudishia hela zangu au hakuna utaratibu wowote? (namaanisha hela yangu ya ada ya level 5 sem 1 ambayo ni 1.7m)".

Kama unaushauri wowote naomba unisaidie kwa kweli maana sielewi hadi muda huu na kikubwa ni muda tu ndio tatizo.

Asante sana na samahani kama nitakuwa nimetumia lugha vibaya na rm maana yake ni repeat module na supp maana yake ni supplementary
Polee sanaa mkuu , haya mambo ya medicine wakati mwingine hua yanasikitisha mno . Unaashanga mwaka wa mwisho et ume disqualify ! Cha kukushauri uskate tamaa kama wakigoma kabisa kurudisha pesa yako jarbu kuwaomba usome upya ila gharama za ndani ya chuo wakutolee..hicho ndy kitu naona ufanye , swala la wao kurudisha pesa ni suala gumu mno mtu kurudisha pesa
 
hapo nahisi kinachofanya aone chemistry ngumu ni mwalimu, its either hampendi au hajui kufundisha vyema.. nakumbuka niliona book keeping ngumu kwa ajili ya mwalimu.. ukitaka kuproof hapo why aone physics angalau then kemia ndio ngumu?
 
Back
Top Bottom