Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza
Jamani ndugu wanaJF nilikua naomba ushauri jinsi gani nitaweza kuovercome hi depression na hii combination mana hata nikisoma naona Mambo yanaenda tofauti hususani kwenye chemistry .naomba ushauri wenu Mimi nipo kidato Cha tano
Mdogo wangu komaa na soma kwa technic Sana, chemistry ni somo jepesi na rahisi sana , kama unaona mda haukutoshi soma kwa mkakati maalumu, unaweza kuchagua topics za kusoma. Mfano, paper one komaa na general chemistry, states of matters, heat change, njoo paper two komaa na electrochemistry, inorganic chemistry,soil chemistry, organic chemistry, Ila hapa ujipinde kweli kweli, then soma kwa kusolve maswali mengi na mitihani mingi kadri uwezavyo na kwa kushirikiana na wenzako.
Hapa nakupa hints ya topic mbili ambazo watu waga wanazikwepa kuzisoma na walimu wengi wa shule za serikali ukizitoa zile za vipaji maalumu hawazifundishaga kabisa (organic and soil chemistry). Kwa organic chemistry kama unataka kuchomoa kila swali lake basi hakikisha unafuata hints hizi;
-Introduction to organic chemistry
Nucleophile & electrophiles and free radicals
-Organic reactions(addition, substitution & elimination reactions)
Electrophilic substitution reactions
Electrophilic addition reactions
Electrophilic elimination reactions
Nucleophilic addition reactions
Nucleophilic substitution reactions
Nucleophilic elimination reactions
-Reaction mechanisms
Heterolytic and homolytic bond cleavage
-Hydrocarbons & isomerism
Aromatic( saturated/parafine, unsaturated olefins) & non aromatic
#Non aromatic- alkenes, alkanes, alkynes and their physical & chemical properties & preparations and tests
#Aromatic hydrocarbons
Benzene and it's derivatives- benzene, toluene, phenol , benzoic acid, aniline & their methods of preparations, tests, physical and chemical properties
-Carbonyl compounds
#Ketones,aldehyde, with their tests, methods for preparations, physical and chemical properties
#Carboxylic acids, Ester, amides, ethers & epoxides with their tests, preparations, physical and chemical properties
-Polymers
#Types,forms and synthesis of polymers
Hapa mara zote in advanced level mnasoma zile common mfano, protein, polyvinyl chloride PVC, polystyrene, polyethylene zile-complex kama polyacrylamide,polyacrylate, silicones, polyurethane ni kama hamzigusi kabisa.
-Alicyclic organic compounds- preparations & chemical reactions
-Fanya mazoezi ya organic conversion
Mfano. How to convert one compounds to another, eg alkanes-alkene-alkyene-carboxylic acid-carbonyl compounds, benzene-toluene-phenol etc n.b hapa inabidi ufanye mazoezi ya kutosha na usolve mitihani na maswali mengi hii topic utaona mtelezo tu kama vile unashushia coca ya baridii kwenye jua Kali.
-Soil chemistry hapa komaa na hizi parts physical and chemical properties of soils, manure and fertilizers, cation and anionic exchange capacity of the soil, liming materials, malizia na ozone layer depletion (causes and chemical reactions for Ozone layer depletion).
Ukimaliza hivyo anza kujipima from simple exams/ questions to complex exams/questions , hapo "A" itakuwa inakuita kwa sauti ya upolee[emoji16]