PCB na PCM ipi ni ngumu advance kusoma

Smart Technician

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
653
Reaction score
824
Kati ya PCB na PCM ipi ni kombi ngumu kusoma advance na ipi ina ajira nyingi ukiisoma?

Pia ni ipi inaongoza kwa kufelisha?
 
Inategemea na kichwa? But PCM P na M vinauhusiano kwenye PCB P Na B havina uhusiano na vyote syllabus yake ndefu sana ila pia unataka kuwa nani both factors should be considered
 
PCB kakazeee achana na PCM itakusumbua sana kwenye soko lake labda uwemwalimuu wa hesabu au baba akoo anakampunii ya engeneneering
 
Jambo la msingi angalia interest ya akili yako.

kwa lolote ambalo akili imedhamilia hakuna ugum.

Lakin hata kama jambo rahisi kiasigan ukilazimisha huonekana gum kuliko na aslan haliwezekan.
 
Hakuna ngumu inategemea na msingi uliotoka nao O Level na mapenzi yako moyoni(Soma kitu unachokipenda na kukiweza)

PCB (kama ukifaulu) inakuwa na uwanja mpana wa kozi nyingi chuo kikuu ambazo ajira ni uhakika

PCM pia ina future lakini hakuna wide margin kama PCB,

Sina takwimu za ipi inafelisha zaidi but speaking from my experience,wote PCM na PCB wanafeli nearly equally
 
PCB ina uwanja mpana!

Kuliko PCM den naona kama huna malengo hivi sijui chuo una wish uje kusoma nn lakin kama unataka kusoma kwa kuzingatia ugumu na wepesi wa combination basi combinations zote ni ngumu na combinations zote ni rahisi ndo maana wapo wanao faulu na kufeli!

Bt ukiringanisha PCM Na PCB basi PCM Ni nyepesi compare na PCB kwa kigezo cha TANZANIA ONE wengi huwa ni PCM na ni kwajili ya masomo ya PCM yana uhusiano kuliko PCB hakuna uhusiano kati ya physics na biology lakini pia mathematics sio kama biology
 
ugumu wa PCB unakuja kwenye urefu wa sylubus basi,, bt PCB pia ili uweze kuipenda pale utapofaulu ni lazima umake sure umefaulu BAM(APLIED MATH) hapo utapata kozi nying sana chuo.

PCM haina range kubwa kama PCB.

kwangu naona PCB ngumu kuzid PCM bt kwa matokeo ya science kwa bongo wote PCM na PCB huwa wanafaulu na kufel approximately equaly...
mie nliwah kuangalia matokeo ya miaka 3 mfululizo, mwaka niliomaliza mie na wa nyuma yake na ule wa mbele yake.

sample ilikua washikaji zangu naowajua wa shule za private na gvt in matokeo yalodominate ilikua DIVISION 3 kwa wote PCM n PCB...
so kwa kufel viko sawa..
 
katika combination zote mbili yaan PCM na PCB, Physics and chemistry is constant, sasa hoja ya kujadili ni ''Lipi somo gumu kati ya Mathematics na Biology''. Lakini pia issue ya ugumu ni subjected to msomaji. Mfano ukiniuliza mimi kuhusu ipi comb. ngumu ntakwambia PCB, kwa sababu nilichukia biology tangu ningali Form two.
 
Mkuu chukua PCB....bios ukiwa unaweza kumeza vizur 2 haina tatizo mkuy
 
pcb sio ngumu ila ni mambo mengi kias kwamba unaweza kumaliza topic halafu ukauliza swal usijue kama ni la topic gan na kama huna uwezo wa kucrem biology inasumbua sana vimambo ni vingi na vile vi sayantific name vigumu kumesa yani ni shida kama soma yako ni ya kudonoa huwezi afadhal hata pcm ukijua umejua haina usumbufu wa kusahau viteminology kama bios...kwahyo sio ngumu kwa maana ya masomo ila inausumbufu saaaaaana
 
kati ya pcb na pcm ipi ni kombi ngumu kusoma advance na ipi ina ajira nyingi ukiisoma?pia ni ipi inaongoza kwa kufelisha?

Majibu Ya Kiujumla Ya Swali Lako Ni KUPATA KAZI Na FAINALI Ni Uzeeni.........Period!
 

Sio kwamba PCM ndo ina wide range za kusoma coz tofauti chuo!? Course zote za biashara course almost zote za engeneering, statistics, mathematics, computer science, electronics, PCB, medicine, molecular biology, zoology, botany cjui huko ambazo soko lake bado lipo chini kibongo bongo, kakomae na PCM but kama you can try hard and go through mpaka udaktari au pharmacy its not bad, mimi binafsi nilitamani kuwa daktari ila niliogopa mbeleni nisijekwama nikakomaa na nachokiweza
 
Si PCM wala PCB zinazoleta ajira isipokuwa taaluma utakayochagua baada ya Advance, nayo si lazima upate ajira pia...muhimu kama una kichwa kidogo nakushauri usomee stadi za maisha tu ili kuokoa muda na wakati!
 
Kati ya PCB na PCM ipi ni kombi ngumu kusoma advance na ipi ina ajira nyingi ukiisoma?

Pia ni ipi inaongoza kwa kufelisha?
Zote rahisi; Usipende kuwaza ku-fail kabla hujaanza kitu!
 
ndugu yangu mimi nimesoma pcb na shughuli yake naijua.kama unaweza hesabu we nenda zako pcm tu huku pcb physics na biology ni mtu na mkwe wake yn haviendani hata kidogo halafu pcm mambo mengi xana ya kusoma na kumeza ni kama chizi unaweza kuongea peke yako njian.mi ni hayo tu!
 
Ukweli ni kwamba PCB ni ngumu zaidi na inaongoza kufeli zaidi Form six. Lakini PCB ina future zaidi unapomaliza form six na kufaulu.
Issue hasa ni Biology hapo. Hiyo kitu inahitaji kuisoma sana, kila mara, kuelewa na kukariri pia. Kikipungua kimoja tu, ujue imekula kwako, unafeli.
 
kwa mtazamo wangu PCB ni ngumu kuliko PCM. ila kama hesabu zinakusumbua PCM ni kazi nzitoo. ishu hapa ni bios vs maths sylabus ya bios ina mambo mengi, sylabus ya maths ni ndefu lakin ujazo wake ni mwepesi. ingawa watu wanasema ukisoma PCM unakua chizi wengine haina future lakini mimi siamini hilo kwa sababu nimesoma PCM sijawa chizi na future yangu naiona sasa
 
kuongezeka kwa BAM kunaiffanya pcb iwe ngumu na iudhi. kwenye NECTA unakuwa na mitihani 11 wakati pcm ni 9.
 
asante sana mi nnatatizo la ku clem ila mathe naiweza standard kwa maoni hayo bora niende pcm .kuhusu ajira nina interest kubwa ya kuja kuitumia ajira kujiajiri kwahiyo sina hofu ya kukosa ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…