Smart Technician
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 653
- 824
Kati ya PCB na PCM ipi ni kombi ngumu kusoma advance na ipi ina ajira nyingi ukiisoma?
Pia ni ipi inaongoza kwa kufelisha?
Pia ni ipi inaongoza kwa kufelisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kati ya pcb na pcm ipi ni kombi ngumu kusoma advance na ipi ina ajira nyingi ukiisoma?pia ni ipi inaongoza kwa kufelisha?
Hakuna ngumu inategemea na msingi uliotoka nao O Level na mapenzi yako moyoni(Soma kitu unachokipenda na kukiweza)
PCB (kama ukifaulu) inakuwa na uwanja mpana wa kozi nyingi chuo kikuu ambazo ajira ni uhakika
PCM pia ina future lakini hakuna wide margin kama PCB,
Sina takwimu za ipi inafelisha zaidi but speaking from my experience,wote PCM na PCB wanafeli nearly equally
Zote rahisi; Usipende kuwaza ku-fail kabla hujaanza kitu!Kati ya PCB na PCM ipi ni kombi ngumu kusoma advance na ipi ina ajira nyingi ukiisoma?
Pia ni ipi inaongoza kwa kufelisha?