PCB na PCM ipi ni ngumu advance kusoma

inategemea na kichwa chako I.Q na G.B za kichwa chako hamna kigumu mana wako ambao washasoma
 
Shule niliyosoma pcb ilikua ndo comb inayoongoza kwa ukame wa one na imebarikiwa kwa kuwa na zero nyingi..... Ila nadhani kwa sasa ndo coz ambayo inapromising future kuliko zote so its worthing to take a risk ukitoka umetoka kweli kweli
 
Ukitaka kuwa masikini hadi unakufa basi soma comb hizo.
 
Kaka kwanini usichukue PCK ni comb safi, kuna watu wamepiga wametusua maisha. K-stands for Kishwahili. Hii kozi inasoko sana kwenye interpretation ya lugha ya maabara
 
Kati ya PCB na PCM ipi ni kombi ngumu kusoma advance na ipi ina ajira nyingi ukiisoma?

Pia ni ipi inaongoza kwa kufelisha?
Masomo ya sayansi kwa ujumla ni rahisi tu, weka juhudi tu!
 
Kwa dunia ya sasa nilitegemea swali liulizwe kutaka kujua ni nini kinafundishwa katika hizo "combinations" na ni kitu gani mwanafunzi anategemea kujifunza kupitia hayo masomo.

Elimu kubwa ni kujitambua na kuwa na dira. Fahamu kwa nini unasoma, Je nini unataka kuja kukifanya na ni kitu gani kimekosekana katika uelewa wako ili kufanikisha hiko unachotaka kukifanya? Ukijijibu haya maswali utagundua ni "combination" gani ya kusoma. Na ninakuhakikishia haijalishi ni vipi watu wanaisema kuwa ni ngumu, kwako itakuwa mteremko.
 
Ukisoma comb kwa kuchaguliwa na watu ni lazima itakuwa ngumu kwako.Nadhani kusoma kitu unachokipenda ni swala zuri sana maana utakuwa huru na sharp katika kujifunza.

Soma unachopenda mkuu,achana na swala la ugumu na urahisi
 
Soma PCB.... Wala sio ngumu, wewe tuu na jitihada zako..... Pcm mtihani, physics na math sio v2 vya mchezo
 
Hakuna course rahisi ndugu lakini wakati you can't bet on biology, yo can do so in mathematics! The problem with PCM ni kwamba, inabidi ufanye vizuri physics and mathematics... physics na yenyewe wakati mwingine inapenda sifa! Wakati PCM ndo hivyo, wakati you can't bet on Biology lakini Chemistry (msingi mwingine wa PCB) nayo ukisoma una uhakika wa kufaulu kuliko uhakika uliopo kwenye physics! So, PCM ni mathematics & physics; maths ni rahis kufaulu wakati sometime physics huwa inapenda sifa.... PCB ni Chemistry na Biology; una uhakika wa kufaulu Chemistry wakati Biology si tu kwamba linapenda sifa, don' better either hata baada ya kuwa umeshafanya paper... unaweza kutoka chumba cha mtihani ukajua ile ni B kabisa (sio B za akina Mulugo system) unashangaa matokeo yametoka una D kama sio E kabisa!!

But all in all, kama una matatizo kwenye numbers, just opt PCB na kama ni mtu ambae huja-settle, kichwa kina mipango elfu moja kidogo, opt PCM!
 
PCB ni hatari. . but kuna T.O mmoja alisema kusoma Biology ni kama anasoma kitabu cha hadithi hivyo akahamia PCM necta alipata 99 ya maths.
kwa mtazamo wangu PCB ni ngumu kuliko PCM.
 
Achana na PCB kuna Jamaa anajidanganya eti topic za advance hazi endani na za o level hivyo anadai eti atakomaa hivyo japo kuna baadhi ya topic za o level hazipati vizuri. Mi nime mshauri aende chuo tu lakini hataki
 
Hii topic ilikuwa hot sana shuleni japo tulikuwa pcm na pcb tu lkn malumbano ya ipi ngumu na bora yalisababisha mpaka uhasama na kupigana. Raha ya hesabu kama unaziweza unaziweza tu mziki upo hapo kwenye biology!!
 
malengo ipi kati a izo mbili....

apo wewe chagua moja.. mm nakushauri PCB kakomae tu kama upo vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…