Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PCB kakazeee achana na PCM itakusumbua sana kwenye soko lake labda uwemwalimuu wa hesabu au baba akoo anakampunii ya engeneneering
kwanini?Ukitaka kuwa masikini hadi unakufa basi soma comb hizo.
Masomo ya sayansi kwa ujumla ni rahisi tu, weka juhudi tu!Kati ya PCB na PCM ipi ni kombi ngumu kusoma advance na ipi ina ajira nyingi ukiisoma?
Pia ni ipi inaongoza kwa kufelisha?
Kaka kwanini usichukue PCK ni comb safi, kuna watu wamepiga wametusua maisha. K-stands for Kishwahili. Hii kozi inasoko sana kwenye interpretation ya lugha ya maabara