Sniper don
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 288
- 469
Dah umeua mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji378]Mens at work
Hahahaa! Naona comment yako imetawaliwa na chuki dhidi ya huyo Wema...haya mkuu.Ila huyu demu bana...kaona misa na mange wanatrend mitandaoni roho imemuuma kinoma tz sweetheart[emoji12] [emoji12]
Hizo text kajiandikia na kajijibu mwenyewe!
Pat yuko zake Burundi anajilewea na hela zake za film huo mda wa kuandika masms kaupatia wapi!
Soulmate unakumbuka kale kamsemo "MJUMBE HAUWAWI", kazi yake mjumbe ni kufikisha ujumbe tu.[emoji18]Soulmte umbea umeuanza lini?
[emoji3][emoji3] sawa soulmateSoulmate unakumbuka kale kamsemo "MJUMBE HAUWAWI", kazi yake mjumbe ni kufikisha ujumbe tu.[emoji18]
Kuna li ng'ombe hapo juu linaitwa bestman nimeli stiri tu nikaamua kukaa kimya, nlitaka nilipe tusi hilo ambalo hawajahi kuliona hata kwenye kamusi.[emoji57]
Sawa soulmate[emoji6][emoji3][emoji3] sawa soulmate
Ila ni vyema ukampotezea..waswahili tunasema "funika kombe mwanaharamu apite"
Blackmail hiiMwanaume analazimisha ndoa kwa vitisho vya kuachia picha!? kwahiyo maisha yake yote atatumia hizo picha kama silaha yake ya kumcontrol huyo Wema? ama kweli wanaume tunazidi kupungua kila kukicha!
Kwema tu, sijui kwkao huko, vipi za kujificha huko uliko? [emoji4]Good soulmate
Kwema lakini?
Uku kwema tuKwema tu, sijui kwkao huko, vipi za kujificha huko uliko? [emoji4]
ila wazee wa system wanakosea sana kumtumia huyu dada kututoa kwenye malengo ..shame
Tusipoangalia tutabakia simulizi kama(dragon)walikuwepo viumbe wakuitwa wanaume.Mwanaume analazimisha ndoa kwa vitisho vya kuachia picha!? kwahiyo maisha yake yote atatumia hizo picha kama silaha yake ya kumcontrol huyo Wema? ama kweli wanaume tunazidi kupungua kila kukicha!