PCK amtisha Wema Sepetu, kuvujisha picha nyingine kama hatofunga nae ndoa

PCK amtisha Wema Sepetu, kuvujisha picha nyingine kama hatofunga nae ndoa

Ila huyu demu bana...kaona misa na mange wanatrend mitandaoni roho imemuuma kinoma tz sweetheart[emoji12] [emoji12]

Hizo text kajiandikia na kajijibu mwenyewe!

Pat yuko zake Burundi anajilewea na hela zake za film huo mda wa kuandika masms kaupatia wapi!
 
Mnamtaftia kiki wema wakat kaishapotezwa. Yan inshort hakuna mwanaume mwenye akili timamu anayeweza muoa wema. Narudia tena ...HAKUNA MWANAUME MWENYE AKILI TIMAMU WAKUMUOA WEMA.
 
Bullshit rejesha ujinga wako kwa instagraam na facebk .. ma great thinkers huwa hatudanganywe na vitu vya kutunga .. nyiye hizo note mlizipata wapi ??punga we.
 
Ila huyu demu bana...kaona misa na mange wanatrend mitandaoni roho imemuuma kinoma tz sweetheart[emoji12] [emoji12]

Hizo text kajiandikia na kajijibu mwenyewe!

Pat yuko zake Burundi anajilewea na hela zake za film huo mda wa kuandika masms kaupatia wapi!
Hahahaa! Naona comment yako imetawaliwa na chuki dhidi ya huyo Wema...haya mkuu.
 
Soulmte umbea umeuanza lini?
Soulmate unakumbuka kale kamsemo "MJUMBE HAUWAWI", kazi yake mjumbe ni kufikisha ujumbe tu.[emoji18]

Kuna li ng'ombe hapo juu linaitwa bestmale nimeli stiri tu nikaamua kukaa kimya, nlitaka nilipe tusi hilo ambalo hawajahi kuliona hata kwenye kamusi.[emoji57]
 
Soulmate unakumbuka kale kamsemo "MJUMBE HAUWAWI", kazi yake mjumbe ni kufikisha ujumbe tu.[emoji18]

Kuna li ng'ombe hapo juu linaitwa bestman nimeli stiri tu nikaamua kukaa kimya, nlitaka nilipe tusi hilo ambalo hawajahi kuliona hata kwenye kamusi.[emoji57]
[emoji3][emoji3] sawa soulmate

Ila ni vyema ukampotezea..waswahili tunasema "funika kombe mwanaharamu apite"
 
Mwanaume analazimisha ndoa kwa vitisho vya kuachia picha!? kwahiyo maisha yake yote atatumia hizo picha kama silaha yake ya kumcontrol huyo Wema? ama kweli wanaume tunazidi kupungua kila kukicha!
Tusipoangalia tutabakia simulizi kama(dragon)walikuwepo viumbe wakuitwa wanaume.
 
Back
Top Bottom