PDF lawapoteza maboya CHADEMA

PDF lawapoteza maboya CHADEMA

Kwanza jina lako michewen.. moja kwa moja ni wa kuleee alipotoka chura kiziwi wenu. Umeandika ujinga fala ww. CDM na pdf la kazi gani yani waache kujadili mambo ya muhimu wajadili pdf la chief mzuzuraji! Cdm wana akili sana sio lumumba slaves.
Mambo muhimu yapi?. Wakajipange upya 2035
 
1. PDF (mkeka) mmeuona (Chief kasepa na kijiji).
2. CHADEMA wanapotezana huko.
3. Press conference imechunda.
4. Siasa akili mtu wangu.
Kila siku tactic hii hii? Nani alikua hatarajii hili?
 
Mambo muhimu yapi?. Wakajipange upya 2035
Umeshakuwa sodomized na ujinga wa ccm huwezi ona jema kwa Cdm. Kuuzwa na bandari, masai kuamishwa ngorongoro,uminywaji wa demokrasia,ukatili wa polisi, mambo maovu ya waisojulikana,matumiza mabaya ya mikopo ya serikali,gharama za maisha kupanda,mdororo wa nguvu ya shilling n.k ww huoni lolote et?
 
1. PDF (mkeka) mmeuona (Chief kasepa na kijiji).
2. CHADEMA wanapotezana huko.
3. Press conference imechunda.
4. Siasa akili mtu wangu.
Hata kama ingekuwa kweli huo upuuzi unasaidia nini nchi?
 
Back
Top Bottom