Ngete besa
Member
- Oct 18, 2022
- 61
- 141
Mboe tena. Unateseka ukiwa wapiWewe na nani, anawanyima usingizi eeh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mboe tena. Unateseka ukiwa wapiWewe na nani, anawanyima usingizi eeh!
Mambo muhimu yapi?. Wakajipange upya 2035Kwanza jina lako michewen.. moja kwa moja ni wa kuleee alipotoka chura kiziwi wenu. Umeandika ujinga fala ww. CDM na pdf la kazi gani yani waache kujadili mambo ya muhimu wajadili pdf la chief mzuzuraji! Cdm wana akili sana sio lumumba slaves.
Kila siku tactic hii hii? Nani alikua hatarajii hili?1. PDF (mkeka) mmeuona (Chief kasepa na kijiji).
2. CHADEMA wanapotezana huko.
3. Press conference imechunda.
4. Siasa akili mtu wangu.
Umeshakuwa sodomized na ujinga wa ccm huwezi ona jema kwa Cdm. Kuuzwa na bandari, masai kuamishwa ngorongoro,uminywaji wa demokrasia,ukatili wa polisi, mambo maovu ya waisojulikana,matumiza mabaya ya mikopo ya serikali,gharama za maisha kupanda,mdororo wa nguvu ya shilling n.k ww huoni lolote et?Mambo muhimu yapi?. Wakajipange upya 2035
Pole sana1. PDF (mkeka) mmeuona (Chief kasepa na kijiji).
2. CHADEMA wanapotezana huko.
3. Press conference imechunda.
4. Siasa akili mtu wangu.
Hata kama ingekuwa kweli huo upuuzi unasaidia nini nchi?1. PDF (mkeka) mmeuona (Chief kasepa na kijiji).
2. CHADEMA wanapotezana huko.
3. Press conference imechunda.
4. Siasa akili mtu wangu.
Kwani kuna anayeongelea press ya chakadomos?Hakuna mtu wa CHADEMA anaeongelea Mikeka ya kipuuzi.
Nchi nzima hadi kwenye Vijiwe vya Kahawa.Kwani kuna anayeongelea press ya chakadomos?
Ni kweli na ni kweli pia watu wote ukiacha wana CHADEMA wanaongelea mkekaHakuna mtu wa CHADEMA anaeongelea Mikeka ya kipuuzi.
Wanaoongelea Mkeka ni baadhi ya Wapiga Deki wa pale Lumumba.Ni kweli na ni kweli pia watu wote ukiacha wana CHADEMA wanaongelea mkeka
CHADEMA tafuteni Kiki nyingineKwani kuna anayeongelea press ya chakadomos?