Pedeshee maarufu kumuoa mtangazaji wa kiume

Last edited by a moderator:
Hivi humu kuna mtu kaitwa?!!!!so kwa nini mnapenda kujua jinsia za watu si vizuri jamani tukianza kufatiliana jinsia wengine mnazo mbili!hatusemi
 
Unajua watu wengine wanamtafutia ban Warumi wakati Warumi kwenye jukwaa hili ni muhimu.
 
mbaya sana mtoto wa kiume unaulizia jinsia za watu sitashangaa labda wanawashwa huko nyuma wanamtafuta warumi apige round!
 
Yan yule kinyaiya kazidisha na alivyojitoboa sasa puani na kujishaua ukimkuta kinondon kwa mabwabwa wenzie mmh, yan maimartha kamuaribu mtoto wa watu na huyo mtoto aliyemzaa baba kapata

Maimatha kamuharibu VP tena
 
Unajua watu wengine wanamtafutia ban Warumi wakati Warumi kwenye jukwaa hili ni muhimu.

tushawajua humu hao team pinzani unajua ukimjua mbwa jina hakupi shida...unamwita bobyy...bobyyy...bobyyy...!kuja haapa!
 
Hivi humu kuna mtu kaitwa?!!!!so kwa nini mnapenda kujua jinsia za watu si vizuri jamani tukianza kufatiliana jinsia wengine mnazo mbili!hatusemi

Mi nashangaa eti kuna mtu kaja ananiambia wanabishana kuhus jinsia yangu, nikamwambia wabishane vzur waniache nilale
 
mbaya sana mtoto wa kiume unaulizia jinsia za watu sitashangaa labda wanawashwa huko nyuma wanamtafuta warumi apige round!

Wamtafute matumbo au Matola mi hayo mambo sina labda kama wana udaku apo tutaelewana
 
Last edited by a moderator:
Tafadhali Invisible hizi picha nyingine zinazoweka hazifai tuwe wastaarabu kidogo, Naomba picha iondolewe, watu wanaweza kuendelea na Uzi lakini sio picha za uchafu kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom