Yan yule kinyaiya kazidisha na alivyojitoboa sasa puani na kujishaua ukimkuta kinondon kwa mabwabwa wenzie mmh, yan maimartha kamuaribu mtoto wa watu na huyo mtoto aliyemzaa baba kapata
Kumbe benadertha ana mtoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yan yule kinyaiya kazidisha na alivyojitoboa sasa puani na kujishaua ukimkuta kinondon kwa mabwabwa wenzie mmh, yan maimartha kamuaribu mtoto wa watu na huyo mtoto aliyemzaa baba kapata
Kumbe benadertha ana mtoto?
Nilisikia ana mtoto wa kiume ana mwaka mmoja na nus sasa
Nilisikia ana mtoto wa kiume ana mwaka mmoja na nus sasa
Nawe usipende kutafuniwa kila kitu khaaa!!!!!
Pitia pitia bhana, mbona tumeshamwaga mchele kwenye kuku wengi!!!
Id yako wala haisadifu na uulizacho.
Pekua pekua
Luv nisamehe bure kuna kitu kimenipa ubisy mpak nashindwa kupitapita humu
Just do me a favour mpenz
Mhhhh!!!!
Jamani wewe yaani mpaka mwili umenisisimka ulivoniita kimahaba.
Usijali, nitakufafanulia.
Am trying lovito
Dont worry baby gal will pass by tanga nikiwa na posa kabisa sinyorita
Mahaba Dubai sio chumbageni mama
Inabidi ukachomwe na Jua/ukale juice za mua fukwe za copakabana na hawaii
So nifafanulie kwanza then kisses baadae
Mahaba niweke mahabusu, kama Jack wa Maccau.
Umefanyaje?
Binamu si unajua boko haramu hawacheleweshi kufanya mambo yao? Huyo mtangazaji jina linaanzia na herufi B, ni mweupe na mtanashati sana na anapenda kujiremba sana bado hujamjua binamu? Acha utani aiseeh
Mic uuu
Nani sasa Ben Kinyaiya?au B'dozen ?!!!!!!!