Binamu mmmh watu wabaya ivi inakuwaje unamnaliliu mwenzio had anakufa? Hizi tamaa sasa too much, msiba wapi kwanza huenda tukapata na umbea mwingine
Aya binamu Dinazarde, Matola, Heaven on Earth, amu, princess sayuni, geniveros, ramu mamakibunju, lusungo, ROBERT MICHAEL, qn of sheba, Mrembo by Nature, zavi, matumbo njooni mjionee huku watu walivyofanya mambo
Hivi humu kuna mtu kaitwa?!!!!so kwa nini mnapenda kujua jinsia za watu si vizuri jamani tukianza kufatiliana jinsia wengine mnazo mbili!hatusemi
Unajua watu wengine wanamtafutia ban Warumi wakati Warumi kwenye jukwaa hili ni muhimu.
Waambieeeee wakati kutuletea umbea na udaku hawaweziiii mfyuuuuuuu zaoo
Hivi humu kuna mtu kaitwa?!!!!so kwa nini mnapenda kujua jinsia za watu si vizuri jamani tukianza kufatiliana jinsia wengine mnazo mbili!hatusemi
babu chondo umepata.
Nenda pale mitaa ya T, Manyanya utawakuta.
mmoja wa wapambe wake ni Uncle P.
b12....
Yan yule kinyaiya kazidisha na alivyojitoboa sasa puani na kujishaua ukimkuta kinondon kwa mabwabwa wenzie mmh, yan maimartha kamuaribu mtoto wa watu na huyo mtoto aliyemzaa baba kapata
Unajua watu wengine wanamtafutia ban Warumi wakati Warumi kwenye jukwaa hili ni muhimu.
Hivi humu kuna mtu kaitwa?!!!!so kwa nini mnapenda kujua jinsia za watu si vizuri jamani tukianza kufatiliana jinsia wengine mnazo mbili!hatusemi
Ben KinyaiyaDuuu kwahyo b12 wanafunua marinda?:banghead::banghead:😱:sly::sly:
Binamu Dina hawo vibwengo wamejazana sana humu.
Fungukeni basi duuu
jinsia ya mtu inakuhusu nini na wewe ukishajua then what next