Peer Pressure: Uliwezaje kuachana na marafiki waliokuzunguka walevi ama kuishi nao bila kutumia vilevi

Peer Pressure: Uliwezaje kuachana na marafiki waliokuzunguka walevi ama kuishi nao bila kutumia vilevi

nguvu ya buku

Senior Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
168
Reaction score
549
Vilevi nikimaanisha pombe, bangi, sigara, nk

Mfano unakuta mpo out, mnapiga story au mpo nyumbani

Wao wanakunywa na kuvuta
 
Ulevi wa aina yoyote ni uamuzi wa mtu binafsi.

Kama haujaamua. bas hauwez kukufanya ufanye huo ulevi
 
Siyo rahisi,
Siyo rahisi,
Siyo rahisi.

Ila inawezekana mno,tena sana tu.
Mimi bar naenda kama kawaida na sinywi pombe
 
Sio kila anayekunywa au kuvuta ni peer pressure
 
Back
Top Bottom