Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ndio dearDuuh .. kisa land scarcity or ?
Nafikiri wana njia zao za kuhifadhi ila ninachojua kuna wengine wanazika makaburini halafu baada ya miaka 3 mwili ukisinyaa na kupungua ndio wanahamishia kwenye hilo jengoWhat happens mwili ukianza kuharibika??
Lol,[emoji3064]Yaani we acha tu
Wanaozea humo na wampendwa wanakuja kusalimia kama ziara za makaburini tu
Mimi kuna aina mbili Tatu za kuwaaga wapendwa ndio zimenishangaza
Huko Japan na Arizona [emoji631] kuna watu wametengeneza freezer kubwa za kuhifadhi maiti milele yaani unagandishwa milele na bei yake ni $200,000 wapo waliolipia kabla ya vifo vyao waki secure space
Na huko Tibet hao ndio kiboko maana ardhi yao ni milima na mawe matupu hakuna pa kuzika
Mfalme mmoja miaka mingi iliyopita akataka maiti ziliwe na Ndege waitwao Vultures hao wanakula kila kitu
Kuna watu ndio kazi yao unawapa mpendwa wako nao wanaanza kukata kata na kuwatupia vultures
Ningeweka picha ila sio vizuri
Kama una moyo kaangalie YouTube sky burial ceremony
Usiseme sijatoa onyo
Na kweli sio wamekosa kuzika ardhini hapana bali ni mjini, hakuna sababu za maanaLol,[emoji3064]
Huyo Pele hivi kwani Brasil hakuna ardhi ya kuzika?
Bora hata hao ambao ardhi yao imejaa mawe.
Watu sasa wanamkufuru Mungu, tuliumbwa kwa udongo na mavumbini lazima tutarudi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Si bora mara 100 kuchoma? Bado maziko bora ni kuchimbia chini kaburini nyingine zote bado sana.Yaani we acha tu
Wanaozea humo na wampendwa wanakuja kusalimia kama ziara za makaburini tu
Mimi kuna aina mbili Tatu za kuwaaga wapendwa ndio zimenishangaza
Huko Japan na Arizona [emoji631] kuna watu wametengeneza freezer kubwa za kuhifadhi maiti milele yaani unagandishwa milele na bei yake ni $200,000 wapo waliolipia kabla ya vifo vyao waki secure space
Na huko Tibet hao ndio kiboko maana ardhi yao ni milima na mawe matupu hakuna pa kuzika
Mfalme mmoja miaka mingi iliyopita akataka maiti ziliwe na Ndege waitwao Vultures hao wanakula kila kitu
Kuna watu ndio kazi yao unawapa mpendwa wako nao wanaanza kukata kata na kuwatupia vultures
Ningeweka picha ila sio vizuri
Kama una moyo kaangalie YouTube sky burial ceremony
Usiseme sijatoa onyo
Ni changamoto kwa wasioamini kuchomaSi bora mara 100 kuchoma? Bado maziko bora ni kuchimbia chini kaburini nyingine zote bado sana.
anahamishwa pia tambua Pele hataoza milele yule ni moja ya TUNU za taifa la braziliJe ikifika muda wa kuvunja hilo horofa itakuwaje??
[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ili awahi kufufuka au [emoji56]
DuhhhNafikiri wana njia zao za kuhifadhi ila ninachojua kuna wengine wanazika makaburini halafu baada ya miaka 3 mwili ukisinyaa na kupungua ndio wanahamishia kwenye hilo jengo
Hilo jengo ni tangu 1983 ndio walijenga taratibu wakawa wanaongeza kutokana na demand
Kuna watu wengi sana humo wengine walichomwa pia cremation
Asehhh...nashukuru nimejifunza kituNi changamoto kwa wasioamini kuchoma
Kama Paris wanazipanga maiti chini kuja juu kwenye kuta ardhini ila tatizo mvua iliharibu basdhi ya makaburi na kulazimu kuyaondoa tena
Tatizo inachukua eneo kubwa la ardhi
Kwa mfano [emoji636] waislam na jews ni lazima wazike na baadhi ya wakristo wasiotaka kuchoma
Sasa mpaka kufikia 2050 itahitajika ukubwa wa NY city kwa ajili ya mazishi tu
Tunajifunza mengi humu MkuuAsehhh...nashukuru nimejifunza kitu
Mbna bora hivi jaman, kuliko kufukuwa na udongo mweeeehUnawekwa humo milele View attachment 2465859
Hahaaaa
Ndiyo waandishi wa Mwananchi wa siku hizi, mwingine aliandika nanukuu "...Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani amewakumbusha waendesha pikipiki wote kuvaa element kila wanapokuwa kwenye vyombo hivyo"Ukitaka kufikisha ujumbe, jitahidi kuweka maelezo kamili yenye kubeba ujumbe wote...
Wengi wanaogopa koleo jamani
Kurudi udongoni kupo palepale, ni dhana pana sana,hata huko kwenye jengo kimsingi yupo ardhini tu sababu hata hilo limesimama ardhini,kwa mfano ukiliwa na Fisi kisipatikane cha kuzika itakuwaje?Lol,[emoji3064]
Huyo Pele hivi kwani Brasil hakuna ardhi ya kuzika?
Bora hata hao ambao ardhi yao imejaa mawe.
Watu sasa wanamkufuru Mungu, tuliumbwa kwa udongo na mavumbini lazima tutarudi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
sasa wakienda kuupaka huo mwili mafuta wanaziba pua au? na wanaendelea kuupaka huo mwili hata ukianza kutoa funza? by the way uislamu ulianzishwa na muhamad miaka mingi baada ya yesu kufaKuna wale wanaosema Yesu alikuwa Muislam , ila nimefuatilia mazishi ya Yesu ni tofauti kabisa na mazishi ya kiislam. Yesu alizikwa kama kwenye makaburi ya kujengewa lakini wao ilikuwa ni mwamba wameutoboa, akalazwa tuu pale na kuwekewa mlango wa jiwe, HAKUNA CHA MWANANDANI, MWANANJE AU KUKAFINIWA. Na taratibu za kwenda kuupaka mwili mafuta baada ya siku ya tatu kama heshima na mila ya wayahudi. Hao wanaosema Yesu alikuwa mwislam wameyatoa wapi?
Hiyo kauli ya mwisho ndio ipo sawa.sasa wakienda kuupaka huo mwili mafuta wanaziba pua au? na wanaendelea kuupaka huo mwili hata ukianza kutoa funza? by the way uislamu ulianzishwa na muhamad miaka mingi baada ya yesu kufa