Acha fujo kwani juu ya ghorofa hatuwezi weka mavumbi ukazikwaLol,[emoji3064]
Huyo Pele hivi kwani Brasil hakuna ardhi ya kuzika?
Bora hata hao ambao ardhi yao imejaa mawe.
Watu sasa wanamkufuru Mungu, tuliumbwa kwa udongo na mavumbini lazima tutarudi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Siyo tunaenda wapi. Ukishakufa habari yako ndiyo imeisha hivyo na hauna tena faida kwenye hii dunia na unakuwa uchafu.Wengi wao wanakuwa wanaishi maeneo ya karibu na hakuna sehemu za kuzika karibu
Wamepunguza matumizi ya ardhi kwa mambo mengine badala ya makaburi
Yaani majengo na viwanda ni bora kuliko maiti kwa sasa
Hata bongo wamefukua makaburi 1500 kwa kupisha Reli ama
Yaani Dunia hii sijui tunaenda wapi scary [emoji32] [emoji15]
Acha nikifa nizikwe porini tu kuliko kuhamisha hamisha mara huku mara hukoSiyo tunaenda wapi. Ukishakufa habari yako ndiyo imeisha hivyo na hauna tena faida kwenye hii dunia na unakuwa uchafu.
Thamani ya mtu akiwa hai tu. Miji inabadilika, kabla ya dar kuwa jiji utakuta kariakoo kuna makaburi. Sasa wayaache kisa wafu wamelala? Ndiyo maana sehemu nyingine wanachoma moto
Hapo mwanzo je? wakiapaka hayo mafuta harufu ya maiti wanaizuiaje? wanaendelea kupaka hayo mafuta mpaka maiti ifikia hatua gani kwenye kuozaHiyo kauli ya mwisho ndio ipo sawa.
Hata ukihamishwa unafikiri utajua? Wengine wanachoma moto maiti.Acha nikifa nizikwe porini tu kuliko kuhamisha hamisha mara huku mara huko
Mfumo wa mazishi Yao kwa watu madhuhuri ni sawa sawa na misri, walikuwa na madawa ya kienyeji ambao wanaupaka mwili na hauozi. Hivyo wakati wanaenda kuupaka mafuta mwili unakuwa haujaharibikaHapo mwanzo je? wakiapaka hayo mafuta harufu ya maiti wanaizuiaje? wanaendelea kupaka hayo mafuta mpaka maiti ifikia hatua gani kwenye kuoza
Lini Yesu alikufa???Kuna wale wanaosema Yesu alikuwa Muislam , ila nimefuatilia mazishi ya Yesu ni tofauti kabisa na mazishi ya kiislam. Yesu alizikwa kama kwenye makaburi ya kujengewa lakini wao ilikuwa ni mwamba wameutoboa, akalazwa tuu pale na kuwekewa mlango wa jiwe, HAKUNA CHA MWANANDANI, MWANANJE AU KUKAFINIWA. Na taratibu za kwenda kuupaka mwili mafuta baada ya siku ya tatu kama heshima na mila ya wayahudi. Hao wanaosema Yesu alikuwa mwislam wameyatoa wapi?
Yule Yesu myahudi mnazareti ,ambaye alizaliwa kwenye zizi la wanyama alikufa na kufufuka na kupata kama ilivyotabiriwa.Lini Yesu alikufa???
Kasulu mjini pale makaburi yalisambazwa na kujengwa Nyumba. Dunia hii Acha tuSiyo tunaenda wapi. Ukishakufa habari yako ndiyo imeisha hivyo na hauna tena faida kwenye hii dunia na unakuwa uchafu.
Thamani ya mtu akiwa hai tu. Miji inabadilika, kabla ya dar kuwa jiji utakuta kariakoo kuna makaburi. Sasa wayaache kisa wafu wamelala? Ndiyo maana sehemu nyingine wanachoma moto
Kweli mkuu mambo yamebadilika sana yaani generations za sasa wala hawajali ukifa imetoka na huenda wakawa mji huo huo na wasijali tena kama ulizikwa hapoHata ukihamishwa unafikiri utajua? Wengine wanachoma moto maiti.
Miaka hii wakishakuzika, wanakusahau lbd ukazikwe huko kijijini ndani kbsa kwenye mashamba ya ukoo ndiyo watakukumbuka.
Ila ardhi ya Tibet ni mbaya kinomaYaani we acha tu
Wanaozea humo na wampendwa wanakuja kusalimia kama ziara za makaburini tu
Mimi kuna aina mbili Tatu za kuwaaga wapendwa ndio zimenishangaza
Huko Japan na Arizona [emoji631] kuna watu wametengeneza freezer kubwa za kuhifadhi maiti milele yaani unagandishwa milele na bei yake ni $200,000 wapo waliolipia kabla ya vifo vyao waki secure space
Na huko Tibet hao ndio kiboko maana ardhi yao ni milima na mawe matupu hakuna pa kuzika
Mfalme mmoja miaka mingi iliyopita akataka maiti ziliwe na Ndege waitwao Vultures hao wanakula kila kitu
Kuna watu ndio kazi yao unawapa mpendwa wako nao wanaanza kukata kata na kuwatupia vultures
Ningeweka picha ila sio vizuri
Kama una moyo kaangalie YouTube sky burial ceremony
Usiseme sijatoa onyo
Kwanza uyo unomsema yesu hajafa vipi atazikwa?Kuna wale wanaosema Yesu alikuwa Muislam , ila nimefuatilia mazishi ya Yesu ni tofauti kabisa na mazishi ya kiislam. Yesu alizikwa kama kwenye makaburi ya kujengewa lakini wao ilikuwa ni mwamba wameutoboa, akalazwa tuu pale na kuwekewa mlango wa jiwe, HAKUNA CHA MWANANDANI, MWANANJE AU KUKAFINIWA. Na taratibu za kwenda kuupaka mwili mafuta baada ya siku ya tatu kama heshima na mila ya wayahudi. Hao wanaosema Yesu alikuwa mwislam wameyatoa wapi?
Ni mawe matupu huwezi kufukua hata kidogoIla ardhi ya Tibet ni mbaya kinoma
Niliangaliaga documentary moja inayohusu kutokomeza umaskini nchini China ndo wakawa wanaonesha huko Tibet wanavyohamisha familia maskini kutoka milimani na kupelekwà kwenye mji uliojengeka wanagawa nyumba kwa kila familiaNi mawe matupu huwezi kufukua hata kidogo
Dunia hii ina maajabu, halafu sisi tuna umasikini na ardhi ya kila aina inayobadilika kila mkoa
Duu ila mkuu kumbuka Tibet empire enzi hizo miaka ya 780- 790 walitawala na kukamata sehemu kibao kuanzia Afghanistan, Pakistan, Bangladesh, China, India yaani sehemu kubwa ilikuwa chini ya ufalme wa tibetNiliangaliaga documentary moja inayohusu kutokomeza umaskini nchini China ndo wakawa wanaonesha huko Tibet wanavyohamisha familia maskini kutoka milimani na kupelekwà kwenye mji uliojengeka wanagawa nyumba kwa kila familia
Cha ajabu kuna mzee akawa anagoma kabisa kuhama milimani yani wanalima kwa tabu sana ardhi imejaa mawe tu
Watatoa mifupa yake ihamishiwe kwingineJe ikifika muda wa kuvunja hilo horofa itakuwaje??
Dah!!!!
Yeah mkuu huo Ukanda wa Tibet una mambo ya ajabuDuu ila mkuu kumbuka Tibet empire enzi hizo miaka ya 780- 790 walitawala na kukamata sehemu kibao kuanzia Afghanistan, Pakistan, Bangladesh, China, India yaani sehemu kubwa ilikuwa chini ya ufalme wa tibet
Walikuwa na nguvu sana ila mwisho ikatawaliwa na China
Ni kuonesha tu kuwathamini wafu waliokuwa maarufu, ni kama tu wale wanaokausha na kuweka katika museumsDah!!!!
Lakini shabaha ni nini kutengeneza makaburi ya ghorofani??