Pele kuzikwa ghorofani

Pele kuzikwa ghorofani

Lol,[emoji3064]
Huyo Pele hivi kwani Brasil hakuna ardhi ya kuzika?
Bora hata hao ambao ardhi yao imejaa mawe.

Watu sasa wanamkufuru Mungu, tuliumbwa kwa udongo na mavumbini lazima tutarudi.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Acha fujo kwani juu ya ghorofa hatuwezi weka mavumbi ukazikwa
 
Wengi wao wanakuwa wanaishi maeneo ya karibu na hakuna sehemu za kuzika karibu
Wamepunguza matumizi ya ardhi kwa mambo mengine badala ya makaburi

Yaani majengo na viwanda ni bora kuliko maiti kwa sasa

Hata bongo wamefukua makaburi 1500 kwa kupisha Reli ama
Yaani Dunia hii sijui tunaenda wapi scary [emoji32] [emoji15]
Siyo tunaenda wapi. Ukishakufa habari yako ndiyo imeisha hivyo na hauna tena faida kwenye hii dunia na unakuwa uchafu.
Thamani ya mtu akiwa hai tu. Miji inabadilika, kabla ya dar kuwa jiji utakuta kariakoo kuna makaburi. Sasa wayaache kisa wafu wamelala? Ndiyo maana sehemu nyingine wanachoma moto
 
Acha nikifa nizikwe porini tu kuliko kuhamisha hamisha mara huku mara huko
 
Hiyo kauli ya mwisho ndio ipo sawa.
Hapo mwanzo je? wakiapaka hayo mafuta harufu ya maiti wanaizuiaje? wanaendelea kupaka hayo mafuta mpaka maiti ifikia hatua gani kwenye kuoza
 
Hapo mwanzo je? wakiapaka hayo mafuta harufu ya maiti wanaizuiaje? wanaendelea kupaka hayo mafuta mpaka maiti ifikia hatua gani kwenye kuoza
Mfumo wa mazishi Yao kwa watu madhuhuri ni sawa sawa na misri, walikuwa na madawa ya kienyeji ambao wanaupaka mwili na hauozi. Hivyo wakati wanaenda kuupaka mafuta mwili unakuwa haujaharibika
 
Kuna wale wanaosema Yesu alikuwa Muislam , ila nimefuatilia mazishi ya Yesu ni tofauti kabisa na mazishi ya kiislam. Yesu alizikwa kama kwenye makaburi ya kujengewa lakini wao ilikuwa ni mwamba wameutoboa, akalazwa tuu pale na kuwekewa mlango wa jiwe, HAKUNA CHA MWANANDANI, MWANANJE AU KUKAFINIWA. Na taratibu za kwenda kuupaka mwili mafuta baada ya siku ya tatu kama heshima na mila ya wayahudi. Hao wanaosema Yesu alikuwa mwislam wameyatoa wapi?
Lini Yesu alikufa???
 
Siyo tunaenda wapi. Ukishakufa habari yako ndiyo imeisha hivyo na hauna tena faida kwenye hii dunia na unakuwa uchafu.
Thamani ya mtu akiwa hai tu. Miji inabadilika, kabla ya dar kuwa jiji utakuta kariakoo kuna makaburi. Sasa wayaache kisa wafu wamelala? Ndiyo maana sehemu nyingine wanachoma moto
Kasulu mjini pale makaburi yalisambazwa na kujengwa Nyumba. Dunia hii Acha tu
 
Hata ukihamishwa unafikiri utajua? Wengine wanachoma moto maiti.
Miaka hii wakishakuzika, wanakusahau lbd ukazikwe huko kijijini ndani kbsa kwenye mashamba ya ukoo ndiyo watakukumbuka.
Kweli mkuu mambo yamebadilika sana yaani generations za sasa wala hawajali ukifa imetoka na huenda wakawa mji huo huo na wasijali tena kama ulizikwa hapo
Lakini ndio mwisho wa maisha ya kilicho na uhai
 
Yaani we acha tu
Wanaozea humo na wampendwa wanakuja kusalimia kama ziara za makaburini tu

Mimi kuna aina mbili Tatu za kuwaaga wapendwa ndio zimenishangaza

Huko Japan na Arizona [emoji631] kuna watu wametengeneza freezer kubwa za kuhifadhi maiti milele yaani unagandishwa milele na bei yake ni $200,000 wapo waliolipia kabla ya vifo vyao waki secure space

Na huko Tibet hao ndio kiboko maana ardhi yao ni milima na mawe matupu hakuna pa kuzika

Mfalme mmoja miaka mingi iliyopita akataka maiti ziliwe na Ndege waitwao Vultures hao wanakula kila kitu

Kuna watu ndio kazi yao unawapa mpendwa wako nao wanaanza kukata kata na kuwatupia vultures
Ningeweka picha ila sio vizuri

Kama una moyo kaangalie YouTube sky burial ceremony
Usiseme sijatoa onyo
Ila ardhi ya Tibet ni mbaya kinoma
 
Kuna wale wanaosema Yesu alikuwa Muislam , ila nimefuatilia mazishi ya Yesu ni tofauti kabisa na mazishi ya kiislam. Yesu alizikwa kama kwenye makaburi ya kujengewa lakini wao ilikuwa ni mwamba wameutoboa, akalazwa tuu pale na kuwekewa mlango wa jiwe, HAKUNA CHA MWANANDANI, MWANANJE AU KUKAFINIWA. Na taratibu za kwenda kuupaka mwili mafuta baada ya siku ya tatu kama heshima na mila ya wayahudi. Hao wanaosema Yesu alikuwa mwislam wameyatoa wapi?
Kwanza uyo unomsema yesu hajafa vipi atazikwa?
We umeona wapi ayo mazishi yke au ndo bla bla mnazodanganywa?

Nyie kataeni tu ila ipo siku
 
Ni mawe matupu huwezi kufukua hata kidogo
Dunia hii ina maajabu, halafu sisi tuna umasikini na ardhi ya kila aina inayobadilika kila mkoa
Niliangaliaga documentary moja inayohusu kutokomeza umaskini nchini China ndo wakawa wanaonesha huko Tibet wanavyohamisha familia maskini kutoka milimani na kupelekwà kwenye mji uliojengeka wanagawa nyumba kwa kila familia

Cha ajabu kuna mzee akawa anagoma kabisa kuhama milimani yani wanalima kwa tabu sana ardhi imejaa mawe tu
 
Duu ila mkuu kumbuka Tibet empire enzi hizo miaka ya 780- 790 walitawala na kukamata sehemu kibao kuanzia Afghanistan, Pakistan, Bangladesh, China, India yaani sehemu kubwa ilikuwa chini ya ufalme wa tibet

Walikuwa na nguvu sana ila mwisho ikatawaliwa na China
 
Yeah mkuu huo Ukanda wa Tibet una mambo ya ajabu

Nilienda Youtube kuangalia hiyo sky burial uliyoisema nikaona vultures wanavyofaidi minofu ya binadamu

Kumbe chimbuko la mazishi ya aina hiyo ilianzia enzi za zamani unapofika msimu wa winter barafu inatapakaa na ukijumlisha ardhi imejaa mawe tu haichimbiki

Sasa ardhi haichimbiki na nje barafu tupu so mtu akifa haozi ndo wakaamua wawape hao vultures nyama ya binadamu.
 
Back
Top Bottom