Pele kuzikwa ghorofani

Inatisha sana mkuu imagine ndugu, mzazi, rafiki analiwa na ndege
Kule kuikatakata minofu ndio kabisaaa

Huko India pia wanalisha sana ila vulture walianza kutokwa udenda na kufa sana mpaka waliopaa huko Pakistan walikutwa wamekufa wengi sana
Sababu ilikuja kujulikana baada ya kufanya uchunguzi wa mda mrefu na kukosa majibu na kuweka kwenye medical journals

Ndio m Canada mmoja akasema atumiwe kipande cha nyama ya vulture afanyie uchunguzi

Kumbe kwa sababu Hindu hawali ng'ombe sasa wanapozeeka huwapa diclofenac nyingi ili wadhoofike na kushambulia mifupa na mwisho kufa

Hapo vultures wanapokula mzoga wa ng'ombe wenye dawa nao wakawa wanakufa

Ilichukua miaka mingi kugundua hilo na sasa hata huko Tibet kuna watu wanafuga vultures ukitaka ndugu yako aliwe unaenda kuwakodisha na wanakuja kubeba maiti unaenda kushuhudia

Na India vultures ni endangered na wanalindwa sana ukiuwa pingu
 
Duh mbona hatari hiyo,watu wanafuga kabisa hao ndege kibiashara

Na hao eti watalalamika biashara ngumu watu wakiwa hawafi [emoji28][emoji28]
 
Huku utapewa kesi ya ukiukwaji wa haki za binadamu[emoji23][emoji23]
Na kweli ila kuna mengi sana wenzetu wanafanya na imekuwa biashara

Imagine Xmas mtu ana shamba la Xmas [emoji319] na anauza kwa hela ndefu sana

Huku kuanzia October mpaka February ni biashara kichaa na watu ndio wanatengeneza hela haswa yaani kama msimu wa mazao kwenu [emoji1]

Wenzetu hawana mazao ila wamejiongeza kivingine
Xmas cards, fathers day , Mother's day
Valentines day
Cake na zawadi za kila aina yaani ni ubunifu tu

Kuna mzee mmoja mzungu mwaka 1993 nilimpelekea parcel yake akaniambia mwanangu kazi yako ngumu sana

Nikupe akili? Nunua au kodisha ardhi ndogo ufanye biashara ya Pet cemetary nikaguna

Ila alikuwa na akili sana na mimi ndio sikuiona kama ni fursa
Miaka minne mbele jamaa mmoja nae akafungua na mpaka kwenye TV wakaweka
Unajua kuna watu wanapenda paka na mbwa kuzidi wazazi wao
 
Sema hiyo pet cemetery kwa bongo ni biashara kichaa na uifanye kama part time

Kwa ulaya inalipa ila sio bongo ambapo mtu akiona tu mbwa anakatisha anapigwa mawe bila sababu[emoji28]
 
Utaharibu mada.
 
Sema hiyo pet cemetery kwa bongo ni biashara kichaa na uifanye kama part time

Kwa ulaya inalipa ila sio bongo ambapo mtu akiona tu mbwa anakatisha anapigwa mawe bila sababu[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huko haiwezekani kabisa
Yule mbunge alizika mbwa wake watu wakamshangaa sana na wengine kumtukana, unakumbuka?

Ila Ulaya biashara nyingi sana na watu wanajituma haswa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huko haiwezekani kabisa
Yule mbunge alizika mbwa wake watu wakamshangaa sana na wengine kumtukana, unakumbuka?

Ila Ulaya biashara nyingi sana na watu wanajituma haswa
Dah ni mbunge gani huyo naona hiyo habari sikuipata

Nadhani ni tofauti za lifestyle kati ya sisi na wenzetu kuhusu ufugaji wa domestic animals

Huko Nje kuna mpaka hospitali za wanyama na madaktari wenye skills za kutosha na wanapiga hela ndefu tu


Africa sijawahi kuona hospitali ya wanyama zaidi ya madaktari tu wanaozunguka kutibu wanyama
 
Simkumbuki Jina ila nakumbuka kuna mbwa alizikwa kwa heshima

Kweli Africa wanyama hawana thamani kwa sasa ila Enzi za mkoloni kulikuwa na sheria za kuwalinda wanyama

Baba yangu alikuwa na kibali cha kuwakamata wanaotesa viumbe
Alipewa na wakoloni kabla ya Uhuru na mimi nilizaliwa kabla ya uhuru kwa hiyo nilimuona father akiwakamata wanaotesa wanyama na kuwalima faini

Alikuwa anawapeleka polisi na wanalipa faini na kuandikiwa risiti

Enzi hizo kabla shetani hakuweka makazi yake bongo
Makusanyo yalikuwa yanapelekwa hazina

Unabeba kuku upside down unalipa sh 300 fine

Piga fimbo punda unalipa fine
Kupitisha ng'ombe barabarani lazima uwe na bendera nyekundu iliyofungwa na mti ili madereva wakuone na usiku marufuku kupita

Kweli mambo yamebadilika siku hizi wanyama wanaolindwa ni wa hifadhi tu kwa maslahi ya baadhi

Lingine kuhusu pet cemetary naona liko moja tu Tz huko Nachingwea can you believe that?

 
Duh hicho unachokisema kuhusu utetezi wa haki za wanyama niliskia kulikua na mamlaka kabisa inayosimamia haki za wanyama enzi hizo sema ilikufa sijui kwanini


Walikua na majukumu hayo uliyoyataja,nadhani ingeendelea mpaka sasa tungekua mbali


Na kuhusu hiyo pet grave hawajaona sehemu ya kuweka kweli mpaka wameweka huko Nachingwea[emoji23][emoji23]
 
Haswa ilikiwepo na Father alikuwa na mamlaka hayo hata baada ya Uhuru ila mwisho aliacha na akawa anawaelimisha tu

Kuhusu hiyo grave msome huyo mama alieanzisha kwao [emoji1] [emoji1787]
 
Haswa ilikiwepo na Father alikuwa na mamlaka hayo hata baada ya Uhuru ila mwisho aliacha na akawa anawaelimisha tu

Kuhusu hiyo grave msome huyo mama alieanzisha kwao [emoji1] [emoji1787]
Dah kama namuona vile mzee alivokua anawachapa viboko wahalifu wanaoumiza wanyama[emoji28]
 
Ni kuonesha tu kuwathamini wafu waliokuwa maarufu, ni kama tu wale wanaokausha na kuweka katika museums
Wanasahau kuwa baada ya kifo watu wote tupo sawa.Hakuna alie zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…