Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Inatisha sana mkuu imagine ndugu, mzazi, rafiki analiwa na ndegeYeah mkuu huo Ukanda wa Tibet una mambo ya ajabu
Nilienda Youtube kuangalia hiyo sky burial uliyoisema nikaona vultures wanavyofaidi minofu ya binadamu
Kumbe chimbuko la mazishi ya aina hiyo ilianzia enzi za zamani unapofika msimu wa winter barafu inatapakaa na ukijumlisha ardhi imejaa mawe tu haichimbiki
Sasa ardhi haichimbiki na nje barafu tupu so mtu akifa haozi ndo wakaamua wawape hao vultures nyama ya binadamu.
Kule kuikatakata minofu ndio kabisaaa
Huko India pia wanalisha sana ila vulture walianza kutokwa udenda na kufa sana mpaka waliopaa huko Pakistan walikutwa wamekufa wengi sana
Sababu ilikuja kujulikana baada ya kufanya uchunguzi wa mda mrefu na kukosa majibu na kuweka kwenye medical journals
Ndio m Canada mmoja akasema atumiwe kipande cha nyama ya vulture afanyie uchunguzi
Kumbe kwa sababu Hindu hawali ng'ombe sasa wanapozeeka huwapa diclofenac nyingi ili wadhoofike na kushambulia mifupa na mwisho kufa
Hapo vultures wanapokula mzoga wa ng'ombe wenye dawa nao wakawa wanakufa
Ilichukua miaka mingi kugundua hilo na sasa hata huko Tibet kuna watu wanafuga vultures ukitaka ndugu yako aliwe unaenda kuwakodisha na wanakuja kubeba maiti unaenda kushuhudia
Na India vultures ni endangered na wanalindwa sana ukiuwa pingu