Pemba: Freeman Mbowe atembelea Kaburi la Maalim Seif, amuombea dua

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif.

Mh Mbowe ambaye amepewa jina jipya la ABUBAKAR na sasa anaitwa ABUBAKAR MBOWE ametumia fursa hiyo kumuombea dua njema na msamaha kwa Mungu Maalim Seif aliyefariki miezi kadhaa iliyopita.

BAVICHA_&_CHASO_on_Instagram:_“Mwenyekiti_wa_Chadema_Taifa_Mhe._Freeman_Mbowe_leo_Julai_06...jpg
 
Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif.

Mh Mbowe ambaye amepewa jina jipya la ABUBAKAR na sasa anaitwa ABUBAKAR MBOWE ametumia fursa hiyo kumuombea dua njema na msamaha kwa Mungu Maalim Seif aliyefariki miezi kadhaa iliyopita.

View attachment 1843628
Amechota mchanga au ?
 
RIP maalimu
Tutakuenzi kwa kuiondoa ccm
 
R.I.P MH SEIF, ulijua kuwanyoosha ccm, izi kelele za mwenezi wa Ccm
juu ya makam wa kwanza Rais Zanzibar za juzi, Angekuepo Mbona moto ungewaka, mzee aliingia umoja wa KITAIFA ila bado hakuwa mnyonge KWA ccm aliendelea timiza majukum yake Kama kiongozi ila na ya chama,

Alisikika wakati wa kampen , akimuita ,mala tatu , Polepole wee, Sasa shangaa , Polepole ametulia hataki nenda omba msamaa, laana bado ipo juu yake ila anachukulia poa,

Sasa wananchi wenzangu wa Zanzibar nawajua, na wengi nimekua nao na kuishi nao Kama ndugu na marafiki, ACT wasipokua makini basi wenda wakatafuta wapi pa umakin zaidi ili timiza ndoto zao , haipingiki KWA 100%
 
hapo tayari kageuka muislam safi anapiga dua nzito! Siasa na sanaa
 
Mh mbowe amesilimu anaitwa Abubakar Mbowe jina linatokana na swahaba wa mtume wa waarabu
 
Back
Top Bottom