Pemba: Freeman Mbowe atembelea Kaburi la Maalim Seif, amuombea dua

Pemba: Freeman Mbowe atembelea Kaburi la Maalim Seif, amuombea dua

Siasa za kipumbavu hizi za kucheza na dini.

Pia alimwombea maalim kitu gani?mtu akishakufa amekufa. Mbowe aende akawaelimishe wapemba mambo ya katiba na umuhimu wake. Siasa za usanii sanii hazifai.
Usanii wa Mbowe unazidi ule wa jiwe?🤣🤣
 
TL awe makini maana Mwamba anatengeneza njia yake 2025 anaingia kilingeni...yeye aendelee kukaa belgium tu..2025 tutakuwa na wagombea wawili kutoka upinzani FM kutoka CDM na TL ACT wazalendo na bila TL wakati huo ataitwa msaliti na makamanda...FM anajua sana kuicheza hii game na kuwaliwaza mabosi zake...
Chadema ni chama makini huwa hakichapishi nakala moja ta mgombea
 
So,ameamua kusilim Ili awapate waislam?

Mbona sion mantiki yake
 
Upinzani wa mchongo....full mapicha picha
 
Ukijua utamaduni wa watu mahala Fulani ni heshima tosha.
Were unaona siasa zakipumbavu
Kwamba huwezi enda tembelea kaburi lake mpaka ujiite Abubakar? Kweli?tuwe serious kidogo. But pia alikuwa anamwombea nini na kwa nani? Niambie Mbowe amesilimu?
 
Nataka kujua maana ya 'Abubakar' kwa imani ya Maalim Seif R.I.P

Jina abuu bakari alipewa aliyekuwa swahaba mkubwa wa mtume allayhi swalatu wassalamu ambaye jina lake alikuwa anaitwa Abdullah ibn Uthman (hiyo abuu bakar ni kuniya au aka) kwasababu yeye alikuwa wa mwanzo mwanzo kumsadikisha mtume kwamba kweli n mtume.
Neno abuu kwa kiarabu ni baba/mr
Na bakar ni harakisha/fanya haraka kufanya maamuzi.

Ila huyo mbowe anawanyenga nyenga tu ilia apige ruzuku
 
Na juzi hapa walikuwa wanamtukana hasa baada ya kukutana na magufuli Kule chatto wanasiasa ni watu wanafiki sana
Mbowe ameshawahi kumtukana nani?

Mataga pori kama mme-mind hivi 🤣🤣🤣
 
Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif.

Mh Mbowe ambaye amepewa jina jipya la ABUBAKAR na sasa anaitwa ABUBAKAR MBOWE ametumia fursa hiyo kumuombea dua njema na msamaha kwa Mungu Maalim Seif aliyefariki miezi kadhaa iliyopita.

View attachment 1843628
Exquisite. Excellent. Very good. Beautiful and handsome. "Endelea na mapambano Kamanda".
 
Back
Top Bottom