Pemba: Freeman Mbowe atembelea Kaburi la Maalim Seif, amuombea dua

Nataka kujua maana ya 'Abubakar' kwa imani ya Maalim Seif R.I.P
Ni Rafiki mkubwa wa mtume Muhammad..
alikua swahaba mwenye kutia moyo, aliupigania sana Uislam

Abubakar alikua Mwamba.
Wana dhuoni wanaweza wakatupa darasa zaid,Inshaallah
 
Siasa za kipumbavu hizi za kucheza na dini.

Pia alimwombea maalim kitu gani?mtu akishakufa amekufa. Mbowe aende akawaelimishe wapemba mambo ya katiba na umuhimu wake. Siasa za usanii sanii hazifai.

Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif.

Mh Mbowe ambaye amepewa jina jipya la ABUBAKAR na sasa anaitwa ABUBAKAR MBOWE ametumia fursa hiyo kumuombea dua njema na msamaha kwa Mungu Maalim Seif aliyefariki miezi kadhaa iliyopita.

View attachment 1843628
 
Ukijua utamaduni wa watu mahala Fulani ni heshima tosha.
Were unaona siasa zakipumbavu
 
TL awe makini maana Mwamba anatengeneza njia yake 2025 anaingia kilingeni...yeye aendelee kukaa belgium tu..2025 tutakuwa na wagombea wawili kutoka upinzani FM kutoka CDM na TL ACT wazalendo na bila TL wakati huo ataitwa msaliti na makamanda...FM anajua sana kuicheza hii game na kuwaliwaza mabosi zake...
 
Nitajie faida 3 tu za uongo ulizopata tangu uanze kuutenda
 
Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif.

Mh Mbowe ambaye amepewa jina jipya la ABUBAKAR na sasa anaitwa ABUBAKAR MBOWE ametumia fursa hiyo kumuombea dua njema na msamaha kwa Mungu Maalim Seif aliyefariki miezi kadhaa iliyopita.

View attachment 1843628
duuh,ruzuku inatafutiwa sababu ya kutafunwa tu !!!
 
Nitajie faida 3 tu za uongo ulizopata tangu uanze kuutenda

stay tuned, pole sana..

vipi wabunge Covid 19, mmeshafungua kesi mahakamani kupinga uwepo wao bungeni?..
tunaomba report ya transactions zote za chama chetu hasa deposit kuanzia Dec 2020 to date...ni transparency tu kwa wanachama na wapenzi wetu kuwaonyesha tunasimamia haki na uwazi...
 
Wewe ni mtu duni , weka ushahidi wa ruzuku iliyopata Chadema
 
Freeman Mbowe ambaye yuko kwenye kampeni za operesheni haki Mikoa ya Pemba , Leo ametembelea mahali ulipohifadhiwa mwili wa Nguli wa siasa za Zanzibar , Jabali Maalim Seif.

Mh Mbowe ambaye amepewa jina jipya la ABUBAKAR na sasa anaitwa ABUBAKAR MBOWE ametumia fursa hiyo kumuombea dua njema na msamaha kwa Mungu Maalim Seif aliyefariki miezi kadhaa iliyopita.

View attachment 1843628
Hii picha ni ya lini? Hii for sure ni ya zamani kama photosshop za Nassari, na haijulikani ni wapi. Kama ni Pemba utatafuta wanawake ba makaburi na wanaume weeeee mpaka utachoka, huoni. Na hapa utatafuta weeeee kumtafuta Nguli Freeman humuoni...
 
Back
Top Bottom