Pemba: Freeman Mbowe atembelea Kaburi la Maalim Seif, amuombea dua

Siasa za kipumbavu hizi za kucheza na dini.

Pia alimwombea maalim kitu gani?mtu akishakufa amekufa. Mbowe aende akawaelimishe wapemba mambo ya katiba na umuhimu wake. Siasa za usanii sanii hazifai.
Usanii wa Mbowe unazidi ule wa jiwe?🤣🤣
 
Chadema ni chama makini huwa hakichapishi nakala moja ta mgombea
 
So,ameamua kusilim Ili awapate waislam?

Mbona sion mantiki yake
 
Upinzani wa mchongo....full mapicha picha
 
Ukijua utamaduni wa watu mahala Fulani ni heshima tosha.
Were unaona siasa zakipumbavu
Kwamba huwezi enda tembelea kaburi lake mpaka ujiite Abubakar? Kweli?tuwe serious kidogo. But pia alikuwa anamwombea nini na kwa nani? Niambie Mbowe amesilimu?
 
Nataka kujua maana ya 'Abubakar' kwa imani ya Maalim Seif R.I.P

Jina abuu bakari alipewa aliyekuwa swahaba mkubwa wa mtume allayhi swalatu wassalamu ambaye jina lake alikuwa anaitwa Abdullah ibn Uthman (hiyo abuu bakar ni kuniya au aka) kwasababu yeye alikuwa wa mwanzo mwanzo kumsadikisha mtume kwamba kweli n mtume.
Neno abuu kwa kiarabu ni baba/mr
Na bakar ni harakisha/fanya haraka kufanya maamuzi.

Ila huyo mbowe anawanyenga nyenga tu ilia apige ruzuku
 
Exquisite. Excellent. Very good. Beautiful and handsome. "Endelea na mapambano Kamanda".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…