Pemba is in Kenya if we are to follow Somalia's claim on boundary

Pemba is in Kenya if we are to follow Somalia's claim on boundary

Msapere

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,165
Reaction score
1,543
1.PNG
 
Achana na hawa vinyangarika bendera fuata upepo ambao wanaunga mkono Somalia kwenye ndoto zao za mchana. Kisheria maamuzi ya mahakama kama ICJ kuhusu mipaka baharini huwa yanageuka na kuwa 'case law' baada ya kesi kuhitimishwa. Yaani maamuzi hayo yatakuwa sheria kivyake na yanaweza yakatumika hapo baadaye kuvuruga mipaka yote ya jadi, kutoka Cairo hadi Durban.
 
Ukiiwaambia hivyo wanaanza kurusha maneno. Bongolalas are funny people.
One side they support Somali's claims, yet when told of the repercussions wanaanza matusi, difficult people to argue with.
 
We must make sure that Pemba returns to Kenya. This issue must reach the Kenyan Parliament. Countries can't be taking our territories and just go away with it. It is time Kenya stamps authority around the region.
 
Unfortunately Nyerere alishaona mbali. Pemba is a zanzibar island, in the United Republic of Tanzania.
Mkiigusa hiyo tunaingia hadi Nairobi, hatusubirii hiyo mahakama gani sijui, iseme nini.
 
Unfortunately Nyerere alishaona mbali. Pemba is a zanzibar island, in the United Republic of Tanzania.
Mkiigusa hiyo tunaingia hadi nairobi, hatusubirii hiyo mahakama gani sijui, iseme nini.
😀 😀 😀 Bongolalas self imagined might.
 
keep dreaming! when did Kenya get independence? when did Kenya bought Lamu and Mombasa from Zanzibar Sultanate?
Sheria ni msumeno babaa! Si mambo na Independence hapa. Ukikata mbele pia nyuma vilevile 🙃
 
Kitu tutafanya tutaacha sheria ifanye kazi badala ya busara iliyotumika kupindisha mpaka pale K'njaro, tunaunyoosha mpaka Mombasa.

Msione viongozi wenu na wanazuoni wanakalia kimya hili swala ni gumu sana upande wa Kenya.
 
Back
Top Bottom