mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Kwanza hapo pa Kilimanjaro Niko sure wakaazi wa pande Ya Tanzania watafurahi Sana there won't be much struggle there. Pemba pia watafurahi kuitoka jumuiya ya Umasikini ya Tanzania.Uwezo wenu kivipi Braza, mambo kama haya hayahitaji ubishi. Tunasubiri uamuzi wa ICJ. Na kama itakubalia Somalia, basi Pemba yetu.
Kuna tetesi kuwa, Kilimanjaro pia ni sehemu ya Kenya kisheria.