Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Waafrika sijui nani alituroga.
Mipaka ilichorwa na wazungu kinyume na matakwa yao kwa matakwa yao ya kiutawala, sisi tunaanza kuzozana na kupigana ...
Kuwa muafrika ni kukazania mambo ya ajabu yaliyoletwa na wazungu na waarabu
Mara Malawi alete fyoko, Mara Uganda, Mara Kenya dah!
Mkishamaliza komboa mipaka kwa kugombana na waafrika wenzenu sijui mtaenda dai mipaka ya Africa na ulaya?