Pemba is in Kenya if we are to follow Somalia's claim on boundary

Pemba is in Kenya if we are to follow Somalia's claim on boundary

Waafrika sijui nani alituroga.
Mipaka ilichorwa na wazungu kinyume na matakwa yao kwa matakwa yao ya kiutawala, sisi tunaanza kuzozana na kupigana ...
Kuwa muafrika ni kukazania mambo ya ajabu yaliyoletwa na wazungu na waarabu

Mara Malawi alete fyoko, Mara Uganda, Mara Kenya dah!
Mkishamaliza komboa mipaka kwa kugombana na waafrika wenzenu sijui mtaenda dai mipaka ya Africa na ulaya?
 
Ukitaka kujua kwamba huwezi kuwa na mazungumzo yeyote ya maana hapa JF na Bongolalas kuhusu Kenya, fuata hii thread.
Jambo la kusikitisha ni kuwa hawaoni hiyo ICJ ruling itakavyokuwa na effects kwenye "the African East Coast marine boundaries."

Wao tu ni kujipiga kifua wakiomba Kenya ipoteze kwenye kesi hiyo... mtego wa panya huingia waliomo na wasiomo
Nyinyi ni wajina Zanzibar ilikuwa ni nchi siyo visiwa vya Tanganyika hivyo hiyo hoja yenu ni ki chekesho kunanchi ipo ndani ya south Africa unajua ilo
 
Waafrika sijui nani alituroga.
Mipaka ilichorwa na wazungu kinyume na matakwa yao kwa matakwa yao ya kiutawala, sisi tunaanza kuzozana na kupigana ...
Kuwa muafrika ni kukazania mambo ya ajabu yaliyoletwa na wazungu na waarabu

Mara Malawi alete fyoko, Mara Uganda, Mara Kenya dah!
Mkishamaliza komboa mipaka kwa kugombana na waafrika wenzenu sijui mtaenda dai mipaka ya Africa na ulaya?

Hao wakoloni kwao hakuna mipaka?
 
Embu jaribuni kuidai hio pemba kikwelj kweli sio kuidai Hapa JF[emoji3]
 
We must make sure that Pemba returns to Kenya. This issue must reach the Kenyan Parliament. Countries can't be taking our territories and just go away with it. It is time Kenya stamps authority around the region.
Eti Pemba is your territory, since when? It never was!

Hio Mombasa ni territory ya Zanzibar, nashangaa JPM hakulipeleka hili bungeni. It is about time We claim what was ours and is ours.
 
Sio kenya inachukua Ila ni Sheria ya maritime boarder inasema hivyo kila nchi ambayo inapakana na bahari mpaka wake ni 200 nautical miles into the sea halafu ule mpaka mwengine unaitwa international waters, mpaka wetu wa kasikazini ukibadilika inamaanisha hata mpaka wetu wa kusini pia utabadilika Ndio maana hio kesi ni ngumu upande wa Somalia na Hilo litaathiri bara zima.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app

Toa upumbavu wako hapa

Kasome statute of the ICJ, particularly Art 36 ndio utajua utumbo wako uliongea humu
 
The point here is that part of the kenyan coastline was under zanzibar.
By that time there was no Kenya or Tanzania,the boundaries were created by the colonies hold on,is there any coastal Kenyan who fought for independence alongside Tanzanian?if any mention him or her , they aligned themselves with their brothers and sisters from the upcountry and that shows you they were more Kenyan than Tanzanian.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
By that time there was no Kenya or Tanzania,the boundaries were created by the colonies hold on,is there any coastal Kenyan who fought for independence alongside Tanzanian?if any mention him or her , they aligned themselves with their brothers and sisters from the upcountry and that shows you they were more Kenyan than Tanzanian.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
You are just evading the fact that as up to 1960 the kenyan coastline was under zanzibar.
 
Kaa la moto la '' MOMBASA REPUBLIC'' Bado linawaunguza kimyakimya na sasa mnataka kujiongezea ugonjwa wa moyo?
 
Back
Top Bottom