Pemba kunahitajika zaidi elimu ya uzazi wa mpango, Watoto wanateseka

yani mwanamke ana watoto wanne wewe unaona tatizo? mbona munaathirika vibaya na umgaharibi kiasi hicho wakuu, mimi nahisi wewe ndio wakusikitiwa na kuonewa huruma. alafu ni mwanamme kabisa dah
Wamagharibi wenyewe wameanzisha sera za kuhimiza watu wazaliane. Huyu hajui chochote.
 
Lakini mkuu, Hao watoto waliofatana sana wanakuwa na afya njema au afya ziko migogoro?

Kama afya zao ziko vzr kwa maana ya kwamba wazazi wao wanamudu kuwatunza hiyo siyo shida sana kwa upande wao.

Pia KE wa 30yrs kuwa na watoto wanne inawezekana pia madaam tu pesa na muda wa kuwalea upo.
 
Unaelewa lengo la uzazi wa mpango?

Unaelewa madhara yaletwayo na njia za uzazi wa mpango (ukiacha calendar na condoms)?

Unaelewa nini kuhusu menstruation cycle na factors zinazoiathiri?

Unajua kwamba njia pekee salama na ya uhakika na abstaining tu?

Anyways, ndugu mwandishi wa habari ahsante kwa mtazamo wako. Jifunze zaidi.
 
Watanzania mmekuwa wapumbavu sana.

Wengi wenu mmelelewa kwenye zile familia zenye watoto wengi vijijini ila baada ya kuja mjini na kusoma kidogo sasa mnaanza kuona wazazi wenu wajinga

Ieleweke kwa Africa mtoto ni Mali, maskini asiye na mali aijivunie nini kama sio watoto watakaokuja kumsaidia yeye?

Western culture imewaharibu ssna huwezi kunipangia watoto wa kuwazaa sababu sijawahi kuja kukuomba unisaidie kuwalea.
 
Huo ni mkakati wa wapemba miaka nenda rudi
Wapemba ukiwa na mke tu ndg jamaa jamii ukiwa na mtoto mmoja wanakushangaa,

Ova
 
Mi naona hakuna tatizo kwa Mama na Binti yake kukutana leba,tatizo lingekuwa huyo Mama akutane na Mtoto wake wa kiume huko leba ndiyo ingekuwa miujiza.
 
Siyo wapemba tu, hata Watanganyika nao si haba. Nenda usukumani na Kanda ya ziwa yote kiujumla, ndiyo utajua hujui.
 
I wish nyie ambao mnaponda hoja ya jamaa hapa

mngewaona hao wanawake jinsi wanatia huruma

unakuta mama ana mtoto mgongoni uku ana mimba ukizingatia muda huo dogo ana afya mbaya sana pia unakuta mama afya yake sio imara

dogo analia kila baada ya muda .....uko ndipo niliambiwa maana ya kubemenda mtoto
 
Tatizo sio Kuzaa, tatizo hali ya Uchumi kisiwani Pemba ni ngumu sana huyo Mwenye Watoto Wanne hawana Matunzo kabisa

mkuu usiumie na wapemba, wengi wao wamezaliwa kwenye umaskini na leo ni mamilionea, jamaa wanatoboa sana kimaisha.
 
SULUHISHO:
1. Wanawake wagawiwe condom wanaponunua PEDI.
2. Wanaume wao wafunzwe njia za asili kama kumwagia nje.
3 . Wanawake wao waache kufinyia ndani.
 
Watakuambia hangaika na mambo ya nchi yako, ya Zanzibar waachie Wazanzibari
 
Jamaa wanawaza kuzaliana tu, wakiamini idadi ya watoto ndio utajiri.
 

pemba kuna ndoa za utotoni nyingi na serial marriage.. alafu risk factor nyingine pemba mwanamke ni mtu wa kukaa nyumbani. Ogopa sana factor hizo hapo
 
Unashangaa pemba?
Mimi kuna dada yangu mtoto wa ma mdogo ana mvua 33 na ana watoto 10. Hajawahi kuzaa mapacha
 
Mbona sioni shida ndugu mdau, kwani wenyewe wamelalamika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…