vposterior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 732
- 1,233
Tunalijua hilo mkuu Mara hii ni kuuwana tu mukizingua.Eti tutatumia njia gani. Tunaye 'Jecha' mwinginr, tena mkali kuzidi yule wa 2015. Mmedahau Bi Asha Bakari alivyowambia? Alisema hivi: Zanzibar ni nchi ya mapinduzi. Haikupatikana kwa vikaratasi. Na hatuikabidhi kwa kupitia karatasi. Lands watupindue.
Nijuavyo uwanja wa Tibirinzi ndiyo uwanja maarufu na mkubwa kwa shughuli za halaiki kwa Pemba nzima. Watu kuonekana kwenye vichaka maana yake eneo lote la wazi lililoko mbele huenda limejaa. Hiyo ndiyo maana halisi ya uwanja kutapika.ili nafas za miti zijaze sehem zitazokuwa wazi.. ni sawa alichofanya zito kigoma.. yani miti na majengo ni sehem ya mkusanyiko pia [emoji23]
Pemba na Unguja wamemkataa shetani na kazi zake zote, na hila zake zote, na ushawishi wake wote. Nzi wa kijani na maeneo safi wapi na wapi!Ni katika viwanja vya Tibirinzi , viwanja mpaka muda huu vimetapika , hizi ni picha za awali
Weka picha wacha mihemukoNgoja tuone!
Hapa makambako kwa Tundu Lisu tuko watu wachache sana!
hana jeuri hiyoWeka picha wacha mihemuko