Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Ole wake muumini amtolee mola mnyama dhaifu na dhufri kiafya,ina kula kwako mazima na ni mkosi mzito sana,mnyama wa kutoa dhaka ni shurti asiwe na dosari yoyote na awe ni mzima,asiwe kilema awe yule aliyenona sana basi huyo anafaa kumtolea MOLA WETU.