Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe tatizo ni nyota aisee!
Mimi business yangu imelala kwa kukosa 2 million tu na nilishiweka wazi hapa JF na nikasaka misaada kibao!
Bado empty tu....
Business inaingiza zaidi ya Tshs elfu 50 kwa siku tena inamalizika 9.00 am jamani dah...
Jiji letu la Dar lina pesa ila basi tu tulio na zero capital hatuthaminiwi....
Kumbe tatizo ni nyota aisee!
Mimi business yangu imelala kwa kukosa 2 million tu na nilishiweka wazi hapa JF na nikasaka misaada kibao!
Bado empty tu....
Business inaingiza zaidi ya Tshs elfu 50 kwa siku tena inamalizika 9.00 am jamani dah...
Jiji letu la Dar lina pesa ila basi tu tulio na zero capital hatuthaminiwi....
Ungefunguka hapa jamvini ingekuwa poa sana, hata kwa wengine ambao huenda hawawezi kukupatia hio fund, coz sidhani kama hizo ideas ni mpya kabisa kiasi cha kuficha watu mtafutane PM...
Mungu akubariki sana. Usiku wa leo sikulala vizuri kabisa kwa kuwa maisha yanazidi kuwa magumu hivyo yanipasa kubuni biashara kwa ajili ya shemeji yenu ambaye ni mama wa nyumbaniHabari zenu wakuu, nimeona watu wengi wanahitaji busines ideas hivyo nimeanzisha uzi huu maalum kwa faida ya wote, Naomba kama unawazo lolote la biashara unayoamini inalipa basi tupia hapa ili tuweze pata mawazo mbalimbali nakuyafanyia kazi.
Mi naanza na haya;
-Car wash
-kuuza dawa za nguvu za kiume
-kuuza nafaka
-kukopesha kwa riba
-kufanya bodaboda (ya kwako)
NB; Andika kwa kifupi
Ahsanteni, Mungu awabariki..
Ili kujua biashar inayokufaa, nakushauri tafuta biashara mabayo inatatua tatizo/hitaji la wateja wako. SWOT ni muhimu sana kabla ya kuanza hiyo biashara.Habari wana forum naomba kuuliza ni biashara gani nzuri inayo lipa mkoa wa Tabora ambayo naweza kufanya
Asanten
Tatizo MTU unapa aidia yako ya biashara alafu anakugeuka Mimi mwenyewe Nina biashara naijuapakuipata adi pakuuzia lakini naogopa watu sio waminifu wanakuacha chalinze unang'ang'aa sharubu mmmm!!Hizo idea zenyewe unafanya siri sasa nani hatakupa hiyo pesa.