Pen down business ideas zinazoendana na mazingira ya Bongo

Pen down business ideas zinazoendana na mazingira ya Bongo

Ungefunguka hapa jamvini ingekuwa poa sana, hata kwa wengine ambao huenda hawawezi kukupatia hio fund, coz sidhani kama hizo ideas ni mpya kabisa kiasi cha kuficha watu mtafutane PM...
 
Binafsi ningependa kupata mdadavuo mzima wa hizo ideas, coz naweza nikafunds hizo projects zote at once...
 
Kumbe tatizo ni nyota aisee!

Mimi business yangu imelala kwa kukosa 2 million tu na nilishiweka wazi hapa JF na nikasaka misaada kibao!

Bado empty tu....

Business inaingiza zaidi ya Tshs elfu 50 kwa siku tena inamalizika 9.00 am jamani dah...

Jiji letu la Dar lina pesa ila basi tu tulio na zero capital hatuthaminiwi....

pole Mkuu na big up kwa kuwa na wazo la biashara.
Lakin tambua sio kila business plan iliyoandikwa imepata funds it won't work like that.
Lkn inaweza kuwa ni udhaifu wa wazo lako kwa misingi kwamba umeshindwa kuliweka vzr kuwashawishi washika dau wakubaliane na wewe ili watoa pesa na hili ndo wasiwasi wangu mkubwa. Siamini uwe na wazo zuli limeandaliwa vzr na kunakila dalili ya kupata faida likakosa wawekezaji jaribu kujipanga upya kwa ufasaha zaidi alaf rudi tena hapa. Kuna watu wanapesa zao lkn hawana mawazo ya biashara hata moja.
Chatatu, ni uaminifu na kujituma ktk kaz, sisi watz ni tatizo sana ktk hili ni wavivu not committed at all na sio waaminifu hili linaweza kuchangia watu wenye pesa zao kuwekeza.
Cha mwisho hacha kulalamika pambana mpaka mwisho, mjomba alisha KUFAGA zamani
 
Kumbe tatizo ni nyota aisee!

Mimi business yangu imelala kwa kukosa 2 million tu na nilishiweka wazi hapa JF na nikasaka misaada kibao!

Bado empty tu....

Business inaingiza zaidi ya Tshs elfu 50 kwa siku tena inamalizika 9.00 am jamani dah...

Jiji letu la Dar lina pesa ila basi tu tulio na zero capital hatuthaminiwi....

PM me ua idea, I have some money, but hata mimi nataka wazo LA biashara
 
Ah sio nilificha network inasumbua ku upload hapo. ila now nimeweka moja wapo
 
Ungefunguka hapa jamvini ingekuwa poa sana, hata kwa wengine ambao huenda hawawezi kukupatia hio fund, coz sidhani kama hizo ideas ni mpya kabisa kiasi cha kuficha watu mtafutane PM...

tayari
 
Habari wana forum naomba kuuliza ni biashara gani nzuri inayo lipa mkoa wa Tabora ambayo naweza kufanya

Asanten
 
Habari zenu wakuu,

Nimeona watu wengi wanahitaji busines ideas hivyo nimeanzisha uzi huu maalum kwa faida ya wote, naomba kama unawazo lolote la biashara unayoamini inalipa basi tupia hapa ili tuweze pata mawazo mbalimbali nakuyafanyia kazi.

Mi naanza na haya;
- Car wash
- Kuuza dawa za nguvu za kiume
- Kuuza nafaka
- Kukopesha kwa riba
- Kufanya bodaboda (ya kwako)

NB; Andika kwa kifupi

Ahsanteni, Mungu awabariki.
 
Habari zenu wakuu, nimeona watu wengi wanahitaji busines ideas hivyo nimeanzisha uzi huu maalum kwa faida ya wote, Naomba kama unawazo lolote la biashara unayoamini inalipa basi tupia hapa ili tuweze pata mawazo mbalimbali nakuyafanyia kazi.
Mi naanza na haya;
-Car wash
-kuuza dawa za nguvu za kiume
-kuuza nafaka
-kukopesha kwa riba
-kufanya bodaboda (ya kwako)
NB; Andika kwa kifupi
Ahsanteni, Mungu awabariki..
Mungu akubariki sana. Usiku wa leo sikulala vizuri kabisa kwa kuwa maisha yanazidi kuwa magumu hivyo yanipasa kubuni biashara kwa ajili ya shemeji yenu ambaye ni mama wa nyumbani
 
Nimefikiri sana tangu jana kwa upande wangu nimegundua yafuatayo
1: Ni ngumu sana kukushauri kwani yakupasa ufike kwanza tabora uangalie mazingira ya kibiashara yapoje na nini kinalipa sana hapo
2: Kwa upande wangu sijawahi fika tabora kwa hiyo napata wakati mgumu
3:Kwa mtaji huo uliosema yapo mambo mengi kama ufugaji kuku wa kienyeji,kununua vitenge na kuuza kwa wafanyakazi kwa bei ya juu,kulima mbogamboga ambazo unaweza uza kwa jumla kulingana na uhitaji wa soko,kama kuna walaji wa chips unaweza nunua gunia la viazi na mayai na kuuza hapo,kama madela yanapendwa nayo yawezekana fanyika pia, nk lakini inategemea na uhitaji wa soko la hapo
 
Habari wana forum naomba kuuliza ni biashara gani nzuri inayo lipa mkoa wa Tabora ambayo naweza kufanya

Asanten
Ili kujua biashar inayokufaa, nakushauri tafuta biashara mabayo inatatua tatizo/hitaji la wateja wako. SWOT ni muhimu sana kabla ya kuanza hiyo biashara.
Gluck
 
Maria hebu angalia hapo kuna thread nimeweka juu ya Chukua wazo la biashara hapa labda yaweza kukufaa
 
Mi ushauri wangu kwa ninavyoisikia Tabora,ni wazalishaji wazuri wa asali. Hivyo kama unauhakika wa soko
la asali waweza kufanya biashara hii,binafsi nimeshaagiza mara kadhaa kwa matumizi binafsi na sijawahi juta.
Wasalaaam
 
Hizo idea zenyewe unafanya siri sasa nani hatakupa hiyo pesa.
Tatizo MTU unapa aidia yako ya biashara alafu anakugeuka Mimi mwenyewe Nina biashara naijuapakuipata adi pakuuzia lakini naogopa watu sio waminifu wanakuacha chalinze unang'ang'aa sharubu mmmm!!
 
Back
Top Bottom