Penati Ilivyoota Mbawa

Sio tu Samatta avunjaa kioo posta, ila pia ajeruhi watu waliokuwa kwa ofisi hiyo ya posta!
 
🙁😡🙁😡😱
 
nilikua nasikiliza mpira redioni nilimsikia mtangazaji akisema kwa sauti"Maaweeeeee" alafu kimya kikatawala nikaamua kuzima redio jumla!
 
Temeke hadi Ilala(Posta)duh,kweli iyo ni ya mwendo kasi.
 
Na hakuna mtu au chombo cha habari kilichokosoa hadharani upigaji ule wa penalti wa kizembe, dharau na majivuno
Eti bwana eeh! ....hata mimi naona kama jamaa aliichukulia poa! Hakukanyaga nyasi vizuri pale alipoweka mpira, huku alitaka kufunga nyavu za juu!!!
 
Eti bwana eeh! ....hata mimi naona kama jamaa aliichukulia poa! Hakukanyaga nyasi vizuri pale alipoweka mpira, huku alitaka kufunga nyavu za juu!!!
Kukosa penati hiyo kuliwatoa wachezaji mchezoni huku mashabiki wakinyong'onyea maana walishindwa kuamini aliyepiga ni Samatta au Abdi Kassim (Barrack wa Unguja aliyekuwa anapiga penati Kizenji)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…