kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Nimechunguza Kagere alivyokosa pigo la mwisho la penati wengi wanaolaumu na kudhihaki ni wapenzi, mashabiki halikadhalika na viongozi wa yanga kuliko singida wenyewe.
Yanga walishasema hawakuwekeza nguvu sana kwenye hiyo michuano, walichukulia kama mazoezi na kuangalia wachezaji wao wale wasiocheza kikosi cha kwanza.
Lakini cha ajabu jana wamekasirika hao na ndio wengi wenye kumshushia lawama kagere.
Tukubali tu ile ni sehemu ya mchezo alikuwa na mawazo mawili kupiga shuti au kufunga kimadoido ghafla ganzi ndicho kilichotokea!
Kwanini penati akose kagere waumie yanga mlikuwa na maslahi gani na ushindi wa singida!