kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Yanga walishasema hawakuwekeza nguvu sana kwenye hiyo michuano, walichukulia kama mazoezi na kuangalia wachezaji wao wale wasiocheza kikosi cha kwanza.Nimechunguza Kagere alivyokosa pigo la mwisho la penati wengi wanaolaumu na kudhihaki ni wapenzi, mashabiki halikadhalika na viongozi wa yanga kuliko singida wenyewe.
Yanga walishasema hawakuwekeza nguvu sana kwenye hiyo michuano, walichukulia kama mazoezi na kuangalia wachezaji wao wale wasiocheza kikosi cha kwanza.
Lakini cha ajabu jana wamekasirika hao na ndio wengi wenye kumshushia lawama kagere.
Tukubali tu ile ni sehemu ya mchezo alikuwa na mawazo mawili kupiga shuti au kufunga kimadoido ghafla ganzi ndicho kilichotokea!
Kwanini penati akose kagere waumie yanga mlikuwa na maslahi gani na ushindi wa singida!
View attachment 2868006
Aah wapi msemaji anasema kama kuna mtu amesema tumemkimbia apeleke barua mbungi lipigwe aina ya watu hao ukiwachukulia dhamana unafungwa kweupeee mahakama ya kisutu!Yanga walishasema hawakuwekeza nguvu sana kwenye hiyo michuano, walichukulia kama mazoezi na kuangalia wachezaji wao wale wasiocheza kikosi cha kwanza.
Lakini cha ajabu jana wamekasirika hao na ndio wengi wenye kumshushia lawama kagere.[emoji23]
Ulishawahi kuwaamini yanga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uliwashtukia!Wana stress za kutolewa na Warundi
Hawataki lakini wanataka uwezo wa timu yao umewaangusha!Utopolo wanaumia sana,
Ila kwa umri wa miaka 43 lazima mwili ugome kutekeleza maamuzi ya akili.Nimechunguza Kagere alivyokosa pigo la mwisho la penati wengi wanaolaumu na kudhihaki ni wapenzi, mashabiki halikadhalika na viongozi wa yanga kuliko singida wenyewe.
Yanga walishasema hawakuwekeza nguvu sana kwenye hiyo michuano, walichukulia kama mazoezi na kuangalia wachezaji wao wale wasiocheza kikosi cha kwanza.
Lakini cha ajabu jana wamekasirika hao na ndio wengi wenye kumshushia lawama kagere.
Tukubali tu ile ni sehemu ya mchezo alikuwa na mawazo mawili kupiga shuti au kufunga kimadoido ghafla ganzi ndicho kilichotokea!
Kwanini penati akose kagere waumie yanga mlikuwa na maslahi gani na ushindi wa singida!
View attachment 2868006
Ndoto mbaya sana iliyomtokea huku akiwa yupo macho!Ila kwa umri wa miaka 43 lazima mwili ugome kutekeleza maamuzi ya akili.
Hatari sana!Simba ilikuwa inacheza ile mechi na timu tatu kwa wakati mmoja.
YAANI:
SIMBA vs SINGIDA, AZAM NA YANGA lakini mechi ni moja.
Eti panenka?? Pale Kuna panenka Gani sasa?mbona hawasema kenedy juma ana mapenzi na singida?
bahat mbaya ya kenedy kuwapa goli singida ndio bahat mbaya ya kagere kukosea panenka.... swala la refa simba ndio waathirika zaidi maana wamenyimwa penati 2, refa aliwadekeza sana singida ndio maana hata baada ya kumzonga sana alishindwa hata kuwapa kadi ili wamuheshimu..... malalamiko na lawama haziwasaidii, kama mlitolewa na apr lieni naa apr
asa si emekataa ubaya wa panenka ikakataa ni aibu kubwa kwa mpigajiEti panenka?? Pale Kuna panenka Gani sasa?
Mmeshikwa pabaya!