Penati ya Messi na Suarez sio ya kwanza, Henry, Pirez walichemsha

Penati ya Messi na Suarez sio ya kwanza, Henry, Pirez walichemsha

Huyu jamaa kwakweli sijapata kuona ktk wachezaji bora waliopita na wa sasa kwa nidhamu na n.k...ni mchezaji mwenye sifa nzuri mno wa kuigwa, hana Majivuno ni mstaarabu,mpole na asiependa shari na kikubwa zaidi yeye ni mtu asiekuwa na tamaa ya kufunga,
Hakuna striker asiye na tamaa au uchu wa kufunga!!! Huo ni mpango wa kuendelea kumweka suarez mbele kwenye magoli!!! Infact binafsi nimependa mipango yao...
 
Hakuna striker asiye na tamaa au uchu wa kufunga!!! Huo ni mpango wa kuendelea kumweka suarez mbele kwenye magoli!!! Infact binafsi nimependa mipango yao...

Mkuu usijitoe ufahamu black pansa yupo sahihi kabisa. wapo wengi wenye tamaa wanataka wao kufunga, cr7,gaucho na neimar na wengine wengi siwezi kuwamaliza! neimar anapokuwa messi nje Huyu dogo hatoi pasi kwa wenzake hata sualez hampi pasi akascore ni m-binafsi mno neimar
 
Uungwana gani? Kwamba kafanya assist? Angempa penati yote, maana penati kapiga yeye ila goli kafunga suarez, ni kama rebound!
Tupunguze kumpaka rangi sana messi, rangi yake tayari inang'ara sana na kupendeza!


King atabaki kuwa king ndio mrithi pekee wa diego maradona ...wakati nyinyi mnaendelea na chuki dhidi yake jamaa anaendelea kupasua tu
 
kwan kuna shida gan kumsaidia teammate awe mfungaj bora kama unajua ww kufika ayo magoli ni ngum sababu ulikua nje miez miwil kwa kitendo iki suarez hawez kumsahau messi kwa mchango anaompa
 
Lonely Mess hawezi kufunga penati kashajaribu mara nyingi sana na ameishia kupaisha au kumpa kipa!

Bora suarezi kamuondolea aibu hiyo kubwa
Lete statistics ya penalt zote alizopiga barca alafu useme ni penalt ngap alizokosa ndo utajua anajua au hajui tatizo ua unaangalia mpira siku ambao messi anakosa penalt ila we utakua mshabik wa chelsea unakumbuka ile penalt tu aliokosa semifinal uefa na ile ya man city tu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom