Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Haya, nakuonea wivu wewe.
Dah hata mi nakuonea wivu wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya, nakuonea wivu wewe.
Wivu wa kwenda kucheza Ubeligiji? Hapo itakuwa hatariKwa nini nisimuonee wivu Samata nimuonee wivu Messi?
Waonee wivu wacheza ndondo wenzako achana na watu wanaojua mpira hutawafikia (King Leo & Samagoal)Kwa nini nisimuonee wivu Samata nimuonee wivu Messi?
ata samatta usimuonee wivu uwez kufika uko kbs alikofika
Kwa nini nisimuonee wivu Samata nimuonee wivu Messi?
namzungumzia cristiano ila namkubali pia kiuwezo ni wa kutoka sayari nyingine toka nimeanza kufuatila barclays wamepita mawinga wengi kina ginola,overmars nk ila hawakutisha kama cristiano,unajua kitendo cha winga kufunga magoli mengi kama cr ni jambo la kusifiwa,so i take my hat off to cristianoRonaldo yupi? Kuna yule mbrazili na yule mmorocco mwenye asili ya Ureno.