Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana
😁😂😂
Don mbona wewe hujaonekana hapa?
Sawa mkuuSisi ni wauliza maswali.
Interview ya Malcom Lumumba nilishtukizwa bila kujipanga, ikabidi nisubiri yako kwa hamu.
Zero IQ kesho Nalendwa amekubali, kwa hiyo elewana naye PM muda gani jioni tuanze.
Cc Khantwe
Sasa unaanza kuuliza maswali kabla ya hadi toku, Don mbona unavujisha pepa bwanaAisee kuna orodha ya maswali yako hapa, Hard Talk yako inasubiriwa.
Khantwe swali lake la kwanza ni, unakula nini mpaka una miakili hivyo?
Hapana sijakuona ukikaangwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
My lovely kaka mie nilishakaangwa.
Itakuwa ulikuwa mtoto bado[emoji85]Hapana sijakuona ukikaangwa.
Sasa unaanza kuuliza maswali kabla ya hadi toku, Don mbona unavujisha pepa bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Baby umepata chombo kipya hadi mimi unaniita mkuu daahNdio mkuu vipi na wewe unataka kujicc
CC Zero IQ
Ahaa sawaTunaita Ice Breaker, hapo ni kama kumpa hint ili asione kama interview itakuwa ngumu.
Haha, sikumbuki kabisa.Itakuwa ulikuwa mtoto bado[emoji85]
Hahaha huu wimbo buana, hivi kuna wimbo bongofleva uliwahi kuhit kama huu?Kwenye wimbo wa Starehe wa Feruzi ft Prof Jay kuna mahali Feruzi anasema "ona sasa yaliyonikuta kwa dada yake Bashir, tulipokutana nikamtongoza tena kwa mara ya pili".
Huyu Zero IQ ana list ndefu, hivyo wengine anajikuta anawasahau.
[emoji1732][emoji1732]Haha, sikumbuki kabisa.
Mimi napendekeza wewe ukae kikaangoni...Hakuna namna[emoji1732][emoji1732]
Hahaha huu wimbo buana, hivi kuna wimbo bongofleva uliwahi kuhit kama huu?
Sent using Jamii Forums mobile app