Pendekeza ID ya member mmoja wa kike awepo kwenye JF Hard Talk ya leo

Pendekeza ID ya member mmoja wa kike awepo kwenye JF Hard Talk ya leo

Kwenye wimbo wa Starehe wa Feruzi ft Prof Jay kuna mahali Feruzi anasema "ona sasa yaliyonikuta kwa dada yake Bashir, tulipokutana nikamtongoza tena kwa mara ya pili".

Huyu Zero IQ ana list ndefu, hivyo wengine anajikuta anawasahau.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unanichoma mkuu

CC Zero IQ
 
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Yaani naanzaje kwamfano!!!
@espy jina lako limepita kesho unaingia JF hard kuanzia saa moja kamili Usiku

CC Zero IQ
 
Haha niliposema ulikuwepo sijamaanisha kuzaliwa nilimaanisha ulikuwa na ufahamu wa kuelewa muziki? Bas sawa mhenga mwenzangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimekuelewa, nakumbuka kabla ya kina Mr 2 kutoka kuna jamaa alitoka Dar akaja bush na kanda zenye recording za kina Salehe Jabir za "Ruka kama ndege tua kama ninja, usipende wengi kama maumba".
 
Back
Top Bottom