Pendekeza ID ya member mmoja wa kike awepo kwenye JF Hard Talk ya leo



Hhahahahahaa wewe na manengelo isijekuwa kuna mtu amewashinikiza hheheheheee maana wote mmenitaja.

Ila mie mbona nilishaweka uzi wangu humu na nilijitolea siku hiyo yeyote aniulize maswali ntayajibu?? Ikafika mahali hakuna aliyekuwa na swali nikafunga uzi. Labda, Dadii akinipa kibali kabla hamjaniuliza maswali watu warejee uzi wangu kisha waulize maswali nje ya yale. Yale ambayo ntakuwa nilishayaelezea watu wayasome huko.
 


duh..mie sikuuona eti..au nimesahau..Dadii bwana akupe tu go ahead...mie nitakuuliza maswali ya ndaniiiii..πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜›πŸ˜›
 
Naunga mkono hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…