PENTAKINYE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 817
- 827
hajar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wewe kabisa kwani mimi mwandiko wako siujuisikuwa mimi labda alitumia simu yangu na yake kukuandama kwa maneno ila sio mm
Abeee!heee ndo hivyo
Mwenza mm na hizo mambo tofauti acha niendelee kuwa msomaji tuNaunga mkono hoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli.
[emoji3590]hapana
[emoji3][emoji3]Mwenza mm na hizo mambo tofauti acha niendelee kuwa msomaji tu
[emoji134][emoji134][emoji134]Hivi wewe kwani una sauti kwa mkeo au unajitutumue mbele ya watu na wewe uonekane kidume
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekuja [emoji468][emoji468][emoji468][emoji134][emoji134][emoji134]
Wifi jamani!!!
Hhahahahahaa wewe na manengelo isijekuwa kuna mtu amewashinikiza hheheheheee maana wote mmenitaja.
Ila mie mbona nilishaweka uzi wangu humu na nilijitolea siku hiyo yeyote aniulize maswali ntayajibu?? Ikafika mahali hakuna aliyekuwa na swali nikafunga uzi. Labda, Dadii akinipa kibali kabla hamjaniuliza maswali watu warejee uzi wangu kisha waulize maswali nje ya yale. Yale ambayo ntakuwa nilishayaelezea watu wayasome huko.
Naona nimekaliwa kikao cha kifamilia[emoji134][emoji134]
Naunga mkono hojaHhahahahahaa wewe na manengelo isijekuwa kuna mtu amewashinikiza hheheheheee maana wote mmenitaja.
Ila mie mbona nilishaweka uzi wangu humu na nilijitolea siku hiyo yeyote aniulize maswali ntayajibu?? Ikafika mahali hakuna aliyekuwa na swali nikafunga uzi. Labda, Dadii akinipa kibali kabla hamjaniuliza maswali watu warejee uzi wangu kisha waulize maswali nje ya yale. Yale ambayo ntakuwa nilishayaelezea watu wayasome huko.
Ndio uende urudi baadae[emoji14]Naona nimekaliwa kikao cha kifamilia[emoji134][emoji134]
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
duh..mie sikuuona eti..au nimesahau..Dadii bwana akupe tu go ahead...mie nitakuuliza maswali ya ndaniiiii..😜😜😜😛😛